Fastjet taabani, washindwa kulipa mishahara wafanyakazi wao.

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
1551429742471.png


Kutokana na hali mbaya ya kiuchumi, Kampuni ya Fastjet imewatangazia wafanyakazi wake kuwa haitakuwa na uwezo wa kulipa mishahara ya mwezi February mwaka huu.

Pamoja na hilo pia, haitakuwa na uwezo wa kulipa malimbikizo ya mwezi January kwa wafanyakazi ambao hawakulipwa mishahara iliyopita.

Kufuatia sintofahamu hiyo, huenda Fastjet ikatoa taarifa nyingine yenye uzito siku za hivi karibuni..
 
Me nawashauri uongozi wa fastjet wkt hali si hali, waendelee kushikilia ofisi zao mpaka wakati utakapojili.

Wenzenu ttcl waliendelea kutunza ofc wakati wao umejili na mnaona wanavowachungulia kwa nusu pazia.
 
Hali ni tete hata abiria walioahirishiwa safari mwezi Disemba hawajalipwa. Sijui tunaenda kulalamikia wapi?
 
Back
Top Bottom