FASTJET: My first and last experience

aiseee kumbe ni majanga hivi? hakuna sehemu ya kuwashtaki?
 
Sawa kaka ulitaka nitembee kwa miguu na mabegi yangu, poa!!!!

Tiba

Mara nyingi huwa natumia precision lkn on that day nikaamua nirudi na fast jet!

Nilifika airport saa 8:50 nilicheckin na kua longe.

Baadaye kidogo tukatangaziwa kuboard
Kabla sijakaribia ngazi zakuingia ndani tukasimamishwa.

Tukaambiwa bado ndege aijawa tayari,zoezi la kutusimamisha lilikua likifanywa na dada kama kazee Ivi kakizungu kamevaa sketi njano na brauzi nyeupe. .

Mkasa mre fu huu...
 
Expensive ticket ili uwezekusikilizwa vizuri? Customer care kwenye mashirika ya ndege hapa TZ sizani kama inategemea na ughali wa tiketi. PW walikuwa ghali sana kabla FN hawajaanza safari zao hapa nchini; lakini walikuwa na lugha za kejeli na kutojali hivo hivo!
 
Wewe - Masanilo acha hizo, wewe uje upige ofisini kwetu harafu uwe na shida na mimi utachimba chumvi ninavyowachukia wazungu et al, tena usilongwe nikakuhisi Mkenya umekwisha
 
Pole sana.
wengine tumekuwa tunasafiri na ndege hii bila kukumbwa na mkasa.
Leo tena nimefika salama mwanza bila kuchelewa na tayari niko kwenye workshop najiongezea kipato.
After 2 weeks nitakuwa tena ndani ya fastjet nikirejea Dar.
 
Nitaendelea kuwashukuru FASTJET kwa kuifanya nauli ya precisionair iwe chini.
Na siku hizi precision air wamepunguza ujeuri.
Zamani customer care ya wafanyakazi wa precionair was horrible.
 
Kinachosemwa na mtoa hoja kinaweza kuwa na ukweli, lakini kwa tabia yetu waswahili ya KUTOJALI MUDA nawapa FASTJET 'benefit of doubt'
 
Wewe - Masanilo acha hizo, wewe uje upige ofisini kwetu harafu uwe na shida na mimi utachimba chumvi ninavyowachukia wazungu et al, tena usilongwe nikakuhisi Mkenya umekwisha

Roho mbaya hiyo mkuu....point yangu hapo ni kuonyesha customer care zilivyokuwa mbovu. Kuweka mbwembwe za lugha ni walau upate msaada Dark City yeye hujipa hata vyeo asivyokuwa navyo ili mradi ahudumiwe
 
Last edited by a moderator:
Hizo sheria umezitoa wapi mkuu?

Naomba msaada ili nisije kufumaniwa.....

Hadi leo najua kuwa local flights in saa 1 kabla ya safari na international flights in 2-3hrs.

Hizo za kwako umezitoa wapi kaka?

Babu DC!!
Kawaida local flights una-check in 1 hour before departure, lakini wauza tiketi wamezoea kutuandikia 2 hours before departure.
Fastjet, check in closes 40 minutes before departure, which is also fair.
 
Ulikuwepo wakati yule bibi akitugawia Ndizi pale waiting longe baada ya kuboard na kushushwa?

Siku ile pia nilipata mkasa mkubwa ambao kwakweli nimewasalute Wadada!

Hope siyule dada tuliekua nae akimuwahi kakayake Dar aliyepata ajali na mguu kuvunjika...

Siku ile bushlawyers walitusainisha nikajua fast jetjet watatulipa. ...wabongo sisi watu wa hewala! ...
 
Mkuu Fighter, tafadhali tiririka, mbona unafanya kutuonjesha story halafu unaacha?

Tiba
 
aiseee kumbe ni majanga hivi? hakuna sehemu ya kuwashtaki?

Smile, kuwashtaki unaweza ila sasa huo muda? Kumbuka muda kidogo unaoupata unautumia kufanya shughuli za kukuongezea kipato ili kusupplement vimishahara vyetu vya kibongo!!!

Tiba
 
Hiyo Fastjet customer care yao ni copy and paste toka CCM, ....angalia ishu ya gesi Mtwara inavyoshughulikiwa!
 
hiyo siku fast jet imepata hitilafu mdogo wangu alikuwamo, na nilileta uzi humu ndani usiku huo huo kuelezea kuwa ndege ya fast jet ilitua muda muda baada ya kupaa angani! kimsingi hawa jamaa kwasasa wameshindwa kazi na wanahatarisha usalama wa abiria inabidi wachunguzwe kwa umakini
 
Pole sana Tiba, kumbuka kuwa cheap has always been expensive. Kama kuna shirika la ndege sijafikiria hata kuulizia nauli basi ni haya mashirika yanayoibuka kama uyoga. Too cheap to undertake a professional service!!!!!
 
hadi maafa yatokee ndo wataundiwa tume
 
Smile, kuwashtaki unaweza ila sasa huo muda? Kumbuka muda kidogo unaoupata unautumia kufanya shughuli za kukuongezea kipato ili kusupplement vimishahara vyetu vya kibongo!!!

Tiba
yaani nchi hii ni dustibin kila kitu kibaya twatupiwa sisi...vingamuzi feki.ndege feki .vipodozi ,mafuta...shamba la bibi kila mtu anavuna
 
yaani nchi hii ni dustibin kila kitu kibaya twatupiwa sisi...vingamuzi feki.ndege feki .vipodozi ,mafuta...shamba la bibi kila mtu anavuna
Mkweli umesema kweli; sasa dawa yake ipo na ndogo mkuu;
Nia za wengi wetu !! " Nia na ile Dhana tuliyo nayo " tukitibu hiyo tu....tija nzuri itakuwepo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…