FASTJET mmetusaidia sana wafanyabiashara Tanzania

Wanaenda Mbeya, Kilimanjaro Na Mwanza kutokea Dar na Zanzibar wakitokea Kilimanjaro.
 
Kilimanjaro-ZNZ ilishafutwa but local flights wanaenda mara 3 kwa siku kutokea Dar kwenda KILIMANJARO, MBEYA na MWANZA pia huenda JOHANNESBURG na LUSAKA mara 3 kwa wiki
 
Ikoje kwa siku? Flights ngapi?kuna kwenda na kurudi in a day?

Wanaenda Kilimanjaro Asubuhi
Wanarudi Dar mchana.
Wanaenda tena Kilimanjaro Saa 9 na kurudi jioni au usiku

Mwanza wanaenda Mara Tatu kwa siku, Asubuhi, Mchana na Jioni
Wanarudi Dar Mara Tatu Asubuhi, Jioni, Usiku.
hivyo safari sita

Mbeya wanaenda Mara mbili kwa siku Asubuhi na Jioni.
Dar wanarudi kutoka mbeya mara mbili, asubuhi na jioni
 
naona precision wanaifuta route yao ya Dar- Mbeya kwasababu haina soko.
 
Hongera sana tena sana,zamani kabla ya FJ ndege walikuwa wanapenda waheshimiwa tu na wenye nazo siku hizi aka napanda na hata na housegeli wangu,wakati hao wengine eti wanaaznisha kulipia kwa USD$ au fedha iliyosawa na hicho kiwango cha USD na kiwango cha USD ni cha kwao,siku hizi breakfast Mbeya ,msosi wa jioni Mbagala .

kweli kabisa.siku hizi kusafiri kifamilia mfano likizo ni fast jet! unafika mapemaaa!
 
Precision hata ukitaka ku-book online huwez mpaka uende ofisin kwao wakati Fastjet una-book online kasha unaweza kulipia kwa M-PESA au Tigo Pesa kisha unatumia tiketi muda huo huo fasta. Poleni PW
 
fastjet wakijipanga vizuri wanaweza kuiua hata ATCL na urasimu wao wa kijinga, wafanyakazi wazee (No innovation) wamekalia kuwaza posho tu
 
fastjet wakijipanga vizuri wanaweza kuiua hata ATCL na urasimu wao wa kijinga, wafanyakazi wazee (No innovation) wamekalia kuwaza posho tu

Dah, hii kali unaua marehemu!! Ilishajifia hiyo bado matanga.

Kuna ndege ATCL wamekodo toka Kenya ilikuwa ya Fly540, waliichukua wakati bunge la bajeti linaanza ili kumuokoa Mwakyembe bajeti isikwame, ngoja tuone itadumu hadi lini.
 
fastjet sasa wanapaswa kuongeza ndege waende mtwara, Nairobi &Zanzibar kuwamaliza precision

Wanasema Zanzibar ni route fupi sana kwa ndege zao za Airbus hiyo si rahisi kuanzisha route hiyo maana ndege haijatulia angani tayari mmefika. Sina uhakika na Mtwara, labda uwanja wa ndege si muafaka sana.
 
Wanasema Zanzibar ni route fupi sana kwa ndege zao za Airbus hiyo si rahisi kuanzisha route hiyo maana ndege haijatulia angani tayari mmefika. Sina uhakika na Mtwara, labda uwanja wa ndege si muafaka sana.

mkuu hawana route ya moja kwa moja toka KIA hadi mbeya,,kama ipo nauli yao ni kiasi gani
 
Fastjet imetufaa jamani yaani hapa nina ticket zangu 5 mpaka mwezi wa 9. RIP Precision
 
Back
Top Bottom