Fastjet Arusha: Kauli za wakata tiketi

Fastjet Arusha: Kauli za wakata tiketi

Kaka mimi hata nukiniita leo nitakuonesha kwani nilipanda ndege yenu j3 kurudi dsm. niliwaripoti pale kia kwa kijana wenu mmoja wa mahusiano mwembamba hivi. sina hakika kama kalishughulikia, ila yule dada mnene hata kuolewa hafai hana vimaneno vimaneno vinavyokera sana. mimi nilimwambia nsitapanda tena fast jet kama mdomo huo unaolia chakula ndio unaowajibu wateja kunya. wewe nenda pale uliza wadada wawili waliokuwa wanahudumia ukiingia tu hapo kivarandani mkono wa kushoto,mmoja ni mweupe mwembamba kuliko mwenzake,wote hawa hakuna kitu,wana majibu ya ovyo sana sana. uliza waliotoa huduma eneo hilo tarehe 21 january 2013 hapo eneo law wazi
 
Pole sana Mr Man 4 M4c na wewe ulikutana na tatizo hili wapi? ofisi yetu ya wapi?
 
mmm..Tanzania...hodi wana J.F ni kweli kabisa customer care ni mbaya sio fastjet tuu, company za simu, bank posta nakadhalika, lakini tuje upande wa pili wa shillingi mimi nimekua nikifanya booking ya maboss wangu amabaye ni msafiri wa mara kwa mara hapo fastjet toka ikiitwa 540 lakini sijawai kuona shida yoyote wale wahudumu pale ofisi ya arusha.
Wanakupewa analysis ya bei zao kuanzia ya 1 mpaka ya 12, wanakuandikia mda wa shuttle zao kuondoka, wanakujulisha kuhusu mizigo na ulipaji wake, muda wa kureport airport na mpaka ubebaji wa silaha kama unayo.
Nimeshuhudia baba mtu mzima makamo kama miaka 50 akitumia lugha chafu juu ya hao wahudumu sababu ameambiwa booking yake iko cancelled sababu hakuzingatia mda wa malipo, je ata kusoma instruction ndogo tunashindwa? Na Kama tatizo ni lugha si ukubali unapoeleweshwa?
Dada Glad pole sana huduma zenu ni nzuri lakini pia sisi wateja sio wote waelewa kwa kweli wanajitahidi na kuhudumia jamii ni kubwa sio rahisi ata kidogo nakuunga mkono mwanzo mgumu lakini mtafika
 
Mkuu ni kweli kuna wateja wasumbufu (ila kumbuka customer is always right) na wewe kama customer care nina uhakika kwamba umefundishwa (how to deal with impossible/difficult customers) lakini majibu mabovu is not part of how to deal with them..

Cha maana nadhani badala ya kujibishana nae au kupotezeana muda kwanini usimwambie ngoja nikupeleke kwa Boss au njoo huku kwenye kachumba tuongee kuliko kujibishana mbele ya kadamnasi na wateja wengine ? Nina uhakika hata mteja akija kwa matusi na wewe ukawa mpole atabadilika na asipobadilika nina uhakika kuna security karibu wa kumpoza au kumtoa nje
 
Watanzania ni wastaarabu sana kama utawaonyeshea ustaarabu pia ni wakorofi kama utawaonyeshea ukorofi
 
Kaka mimi hata nukiniita leo nitakuonesha kwani nilipanda ndege yenu j3 kurudi dsm. niliwaripoti pale kia kwa kijana wenu mmoja wa mahusiano mwembamba hivi. sina hakika kama kalishughulikia, ila yule dada mnene hata kuolewa hafai hana vimaneno vimaneno vinavyokera sana. mimi nilimwambia nsitapanda tena fast jet kama mdomo huo unaolia chakula ndio unaowajibu wateja kunya. wewe nenda pale uliza wadada wawili waliokuwa wanahudumia ukiingia tu hapo kivarandani mkono wa kushoto,mmoja ni mweupe mwembamba kuliko mwenzake,wote hawa hakuna kitu,wana majibu ya ovyo sana sana. uliza waliotoa huduma eneo hilo tarehe 21 january 2013 hapo eneo law wazi

Ndugu zangu mteja ni mfalme. Hao wadudu wakileta ujeuri unamtandika mtu kibao cha kweli kwa kukuvunjia heshima ebo
 
Huduma ikiwa ni lazima kupanga foleni, basi lazima iwe mbaya tu kwa kuwa wapuuzi wachache ndani ya kampuni wanakuwa big headed kwa kuona wateja ni wengi!
 
kumbe anaitwa 'dada glady'!!! but angalieni fastjet yenu isije geuka kuwa facist jet!
 
wewe unaonekana ni mdau wa PRECISION. Tumenyonywa na kunyanyaswa kiasi cha kutosha. National carrier-ATC inakufa kwa sababu ya ya Prec. Kila ikitaka kufufuliwa inakndamizwa sasa ni wakati wenu wammepata mshindani wa kweli. FAST JET BIG UP. matatizo hayo ni ya kawaida cha msingi mapungufu haya myafanyie kazi. Kwa sababu Fast Jet ni wapya mafunzo zaidi yanahaitajika-tafadhali temebelea web site hii-www.drjude.co.za
 
Naona watendaji fast jet hwajui kuwa mteja ni mfalme.
Hii ni tabia iliyo kithili sana hasa wakina dada hapa Tanzania, wengi wao malezi yao yana uwalakini sana, ni jeuri sana, hawana habari jinsi ya ku-deal na wateja/wasafiri - we fikilia Kampuni yenyewe ndio imeanza biashara, lakini wasichana hawa wanajiona zaidi! hawana akili za kufikilia kwamba kula yao inategemea na nauli zinazolipwa - yaani pale wanajiona kama wanatoa huduma za bure.FastJet chunga sana wakina dada hawa - wapelekeni mafunzoni au mtavuna mabua. Fore warned.....; tunayasema haya kwa nia njema tu ili mjirekebishwe mapema kabla hamjaharibikiwa.
 
Customer Care ni tatizo kubwa sana katika taasisi karibu zote hapa TZ. Ukienda nchi za jirani (Kenya na Uganda) sehemu yo yote utakayoingia utahudumiwa vizuri na utaridhika. Inasikitisha hata mtu kwenye biashara yake anakuwa mjeuri kwa wateja. Mtu amejijengea kwamba mteja ndio mwenye shida lakini hajui kwamba yeye ndio mwenye shida, matokeo yake biashara za kutumia ushirikina zinashamiri, watu wanalala na mama zao, wanaua ndugu zao, watoto, wanaua maalbino kumbe matatizo ni wao wenyewe. inasikitisha. Halafu kibaya zaidi ni hizi ajira za vi memo, ndio zinazozaa watumishi wasio na sifa. Usipohudumiwa vizuri sehemu fulani, jaribu kufuatilia huyo mtu ameajiriwaje, utashindwa kushangaa.
 
Junior umeona ee, hatukatai mapungufu yapo ila bado mi nashangaa huyo anaesema watanzania ni wastaarabu na anaedai kupanga foleni katika huduma ni tatizo jamani tusikurupuke tu na comment kabla hujaandika think and think and think...foleni bank zipo, tra foleni, postal foleni, hospital foleni, company za sim foleni, atm foleni, tanesco foleni, dawasco foleni hebu tupe mfano ni wapi tanzania hii unaenda na haupangi foleni??
Tukiongea swala la ustaarabu kwa watanzania tusidanganyane wastaarabu ni wachache mno aloanzisha hii thread naeza kumuita ni mstaarabu sababu ametoa kero yake vizuri sana, tuanzie huku huku kwenye Jamii forum, 1. kasema apewe namba ya sim ya hao wahudumu awatukane( ustaarabu huo) 2. Kasema ipitishwe sheria ya kuwapiga makofi (bado ustaarabu) 3. kasema wametembea na maboss zao kama ana evidence vile( bado ustaarabu) 4.mara ngapi watu wamekua wakiomba msaada wa kimawazo hapa kwenye jamii forum matokeo wamekua wakipatiwa harsh comment na matusi instead ya ushauri...:confused2: ustaarabu its begins with you not anyone else....:confused2: sio lazma wote tucomment kama hauna cha kusema just pita tuuu
 
Mimi binafsi iliniumiza sana kwa majibu yao na kujiuliza kwa nn wasiwe na kauli nzuri
 
Hii fastjet siyo kitu ya kupanda tena,maudhi kila kona,hayo ni maamuzi yangu binafsi...kiujumla hamfahi

tatizo lilikuwa la mfanyakazi ingawaje yupo kwa niaba ya kampuni,tumwelewe msemaji wa fastjet,tumpe ushirikiano ili alitatue hili tatizo,huu ndio uwajibikaji kwa viongozi.sasa maneno ya kuisusia fastjet si ya kiungwana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom