Fastjet Arusha: Kauli za wakata tiketi

Fastjet Arusha: Kauli za wakata tiketi

Muonamambo pole sana kwa hilo lililokukuta, tunaomba utuambie ni marketing personnel gani alokupa hayo majibu? kama unaweza pata jina lake ingesaidia sana kurekebisha kosa hilo lisitokee kwa mtanzania mwingine. ila fastjet sio wezi hata kidogo ndo maana tumeamua kurekebisha madhaifu yetu yote to grow stronger.

You are the only one,the strong pillar at the thin sand,thank you for trying, hakuna kitu kibaya kama kauli mbaya kutoka kwa mhudumu ambaye kwa ridhaa yako mwenyewe umeamua kutumia huduma yake,jitahidini mtaweza tu,ila wa tz sielewi tatizo letu nini?juzi tulikuwa tunalalamikia precision juu ya ku hodhi ma staff wengi kutoka nje ya nchi,leo tunalalamikia wazawa huduma zao mbaya!!kuna jambo la kujifunza.
 
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.

ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET

Huyo dada ni mnene mweupe ofisi zenu ziko pale karibu na house of wine jengo la vioo gorofa ya pili ukiingia upenda kukaa mkono wa kulia ukiwa unawatazama na siku hyo alikuwapo na dada mwembamba mweusi mtaratibu na mtu wa kuelewesha mtu vizuri na nilimpenda hakika kwa kauli zake na siku nikienda pale nitahakikisha nimechukua jina lake huyo dada nitaliweka hapa.
 
asante kwa kuipanda na tunaomba radhi sana kwa kero zozote ulizozipata, kumbuka kwamba sisi ni kampuni mpya na carrer mpya Tanzania, mwanzo mgumu ila tunaimani muda si mrefu tutakaa sawa kwani tunarekebisha makosa yetu moja baada ya moja. asante.

Fastjet sio mbaya wabaya ni watendaji wake.... unaweza kuwa na nia nzuri sana lakini wewe kama kiongozi huwezi fika kila mahali kwa wakati mmoja!may be muweke namba ya simu ili mteja akihudumiwa vibaya apige simu muda huo huo la sivyo kidagaa kitawadodea....kumbuka kampuni ikifa hata hzo ajira mlizo nazo zitapotea.
Makampuni mengi ikiwemo shoprite kuna wahudumu wamekuwa na tabia ya kuwagombeza wateja na kuwadharau jhata pale wanapokuwa hawana makosa, ukiuliza unaambiwa mara anatembea na boss , oohh mara vile na hatua yoyote haichukuliwi. Siipendi Tanzania kwa hili, hela uitafute kwa shida na bado wakati wa kuitumia unyanyaswe................TUHESHIMIANE JAMANI
 
Kweli mrembo umenena utafute pesa yako kwa shida alafu wahudumu waje wakupe shida tena kwa kauli zao mbovu....waweke number number za kuripotti makosa yao
 
Kweli mrembo umenena utafute pesa yako kwa shida alafu wahudumu waje wakupe shida tena kwa kauli zao mbovu....waweke number number za kuripotti makosa yao

Nanunaje, yani kwa hili nimeivulia kofia nchi yangu.......sio kwa bodaboda, sio dukani, sio buchani ukweli watoa huduma wa Tanzania hawamheshimu mteja!! mwisho jitu lilalamike eti hakuna ajira, serikali haitujali............hivi kazi huwezi ifanya kama inavyotakiwa unataka serikali ije ikusaidie kuongea na wateja???Tanzania kama ni kufika huko waliko wengine ni badae saaaaaaaaaaaaana
 
Ndio raha ya kutaka kupanda daladala airways,lazima ukumbane na mitusi na utafikiri hao wanaotoa hiyo mitusi hiyo kampuni ni ya baba zao ,wamejisahau kama walipanga foleni na wengine hutoa utu wao ili waendelee kutoa mitusi,kampuni ikifilisika ni wa kwanza kulalamika,wamesahau hao waotukwana ndio wanawafanya wakae kwenye hivyo vidawati.Ushauri wangu kwa mnaotukanwa pelekeni malalamiko kwa wenye kampuni,hao ndio wana uchungu na kampuni,ukipeleka tu huyo alie toa mitusi anavua ''jezi''hapo hapo.
 
wahudumu wengi tz maeneo mbali mbali ya kibiashara wanamajibu mabaya na machafu sana. Ushauri wangu kwa wamiliki wa hizo biashara, hebu wapelekeni customer care courses, vinginevyo mtapoteza mapato na sisi uvumilivu ukitushinda tutaishia kuwakandamiza makofi hao wakorofi.
 
Kwanibi isipitishwe sheria ya kuchapa makofi wahudumu wenye kauli mbaya
 
Thanks fast jet,huo ndio uungwana tunaoutaka wa kukiri na kuomba radhi,sio wale wanaojitokeza kutetea staff wao au system hata pale inapokuwa mbovu.By the way hivi fast jets mna special nauli ya wanafunzi wa sekondari na vyuo?au privellege yoyote kwa watu wa category hiyo,ninataka mwakak huu nidundulize mwanagu wa sekondary apande pipa,nilimuhaidi akifaulu kwenda form 5 zawadi ya kwanza kwenda Dar na kurudi kwa ndege.
 
hawa wafanyakazi wametumwa na washindani wengine nini? chunguza kuna mapandikizi kama shonza ndani ya chadema
 
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.

ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET

Hata mimi nilibishana na wakata tiketi wemnu wa JNIA aubuhi ya saa 11 try 30 Dec 2012 Jumapili. Yaani Hawaii kabisa kuongea na wateja. Mimi nilibook tiketi jana yake saa 11 jioni ya sh 75000, lkn kesho yake aubuhi wakaniambia booking yangu ilikuwa cancelled kwamba nilipaswa kulipia kabla ya saa 4 usiku! Nikawaambia wakati nabuk ofisi zenu zilikuwa zimefungwa sasa Utaniambiaje ningelipia saa 4 usiku? Nikawaambia wachukue hiyo kama feedback ifanyiwe kazi lkn cha kushangaza wakaanza kubishana na mimi na kusema system yao sijui ni ya UK na huo ndio utaratibu! Yaani hawajui kabisa kabisa kusikiliza mteja anaongea nini, mi sikuona sababu ya wao kuanza kubisha kwa kuwa niliwaomba tu kwamba wachukue wao langu likafanyiwe kazi!

Sasa nikalipa bei ya zaidi ya laki 1, na kibaya zaidi wakanikatia tiketi ya Mwanza badala ya KIA, nilishtuka wakati nacheck-in baada ya kuambiwa na dada aliyekuwa kaunta kwamba niende ktk kaunta ya Mwz!

Wafundisheni wale staff wenu la sivyo....
 
Kwa fast jet Nadhani team nzima imeoza... Nilikuwa nimekata ticket ya katikati ya mwezi Sa kwanza. KIA Dar KiA .baadaye nikalazimika kuhahirisha safari kwenda April. Nikaenda KIA 48 hours before the trip date.mhudumu akaniambia nimwachie atashughulikia...
Kesho yake akanipigia simu kuniambia kulikuwa na Tatizo la system ila nisiwe na wasiwasi system ikiwa ok aatsshughukia. Siku inayofuata ilikuwa jumapili jioni baada ya kumpigia sana bila kupokea simu yangu niliamua kutumia simu ya rafiki yangu ndipo aka pokea na kujipanga namba ya marketing personnel wao makao makuu kwa madai ya Kuwa flight za April hazipo kwenye system.

Nilipompigia Huyo marketing peronel ananiambia nimpigie kesho saa nne. Nikamkumbusha Kuwa kesho ndipo nilitakiwa kusafiri... Akanijibu very short ... Kwamba Hana anoloweza kunisaidia Kwani mpaka muda huo ticket yangu itakuwa no show passenger hivyo sitastahili kusogeza wala kulipwa chochote ....

Hawa fast jet ni wezi

Weka namba zao za simu hawa wooote ulioongea nao. Vitendo zaidi. Mimi ntajitolea kuwapigia na kuwatukana washenzi kabisa
 
Fast jet KIA Kijana anaitwa domisian 0757-619-550 na marketing personel nilitambulishwa kama Gabriel ni ni +255 782 840-540... Ndugu hawa watu hawajali wateja nilipoteza nauli zote za two flight kwa uzembe wao na dharau zao

Weka namba zao za simu hawa wooote ulioongea nao. Vitendo zaidi. Mimi ntajitolea kuwapigia na kuwatukana washenzi kabisa
 
Muhudumu wa KIA anajulikana kama DOMISIAN +255757-619-550 Na marketing personel wa dar nilitambulishwa kwa jina moja tu kama Gabriel namba +255 782-840-540.

Muonamambo pole sana kwa hilo lililokukuta, tunaomba utuambie ni marketing personnel gani alokupa hayo majibu? kama unaweza pata jina lake ingesaidia sana kurekebisha kosa hilo lisitokee kwa mtanzania mwingine. ila fastjet sio wezi hata kidogo ndo maana tumeamua kurekebisha madhaifu yetu yote to grow stronger.
 
Fast jet KIA Kijana anaitwa domisian 0757-619-550 na marketing personel nilitambulishwa kama Gabriel ni ni +255 782 840-540... Ndugu hawa watu hawajali wateja nilipoteza nauli zote za two flight kwa uzembe wao na dharau zao

Nitaleta feedback hapa
 
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.

ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET

Hapo umenena, please fuatilia kwa uaminifu, kuna baadhi ya makampuni ambayo yanajali wateja kama kweli fastjet ni mojawapo basi keep it up., maana kuna maeneo tukiingia jamani hayo majibu unasahu mpaka mlango hasa ukiwa wewe ni mwanamke na anayekuhudumia ni mwanamke mwenzio utajuta!
 
Nakushukuru sana sana kwa kurusha huu uzi. Nami nilikata tiketi nya go and return kutoka dsm ijumaa tar 18 na kurudi dsm tar 21 january j3. nikaenda ofisi yao kubadili tiketi nikamkuta dada mmoja alilipa kwa mpesa elfu 75 na akawa hajapata tiketi, yaani alivyokuwa anajibiwa kimkato mkato na yule dada mnene wa hapo mlangoni ukiingia mkono wa kushoto hadi haibu, mimi niliwapa laivu kuwa siku zao za kukaa ofisini zinahesabika labda kama ofisi ni ya baba yao. Nikarudi jioni kupanda shato nikawauliza ni muda gani hakika majibu yao ni kama wanajisaidia chooni. wapo wawili mmoja mweupe anavaa miwani wote wapo ukiingia tu mkono wa kushoto. ni mashenzi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom