cheap is expensive.wana jf majuzi nilipata hasira sana baada ya kwenda kukata tiketi ya kuja dar asubuh nika mkuta mama mmoja analalamika sana juu ya wale wadada wanao kata tiketi pale jinsi walivyo mjibu wakawa wameshindwa kumuelimisha tofauti ya kukata tiketi ambayo unatakiwa kuondoka siku hiyo hiyo ambayo bei yake ilikuwa 155,000 na wakati mama alikuwa na elfu 75 ndipo wale wadada wakawa wanamuelewesha kwa kumkalipia yani mpaka watu waliokuwa pale ndani wakasikitika sana na majibu ya yule dada kwa yule mama.. Huyo dada jina silikumbuki ila ni mnene mweupe kwa kweli afai hata kuwa kwenye ile ofisi ni janga.
wana jf majuzi nilipata hasira sana baada ya kwenda kukata tiketi ya kuja dar asubuh nika mkuta mama mmoja analalamika sana juu ya wale wadada wanao kata tiketi pale jinsi walivyo mjibu wakawa wameshindwa kumuelimisha tofauti ya kukata tiketi ambayo unatakiwa kuondoka siku hiyo hiyo ambayo bei yake ilikuwa 155,000 na wakati mama alikuwa na elfu 75 ndipo wale wadada wakawa wanamuelewesha kwa kumkalipia yani mpaka watu waliokuwa pale ndani wakasikitika sana na majibu ya yule dada kwa yule mama.. Huyo dada jina silikumbuki ila ni mnene mweupe kwa kweli afai hata kuwa kwenye ile ofisi ni janga.
cheap is expensive.
zamlock mimi kama msemaji wa fastjet naomba radhi kwa watanzania wote kwa mfanyakazi wetu kukosa nidhamu au lugha nzuri kwa mteja... naomba msamaha sana na ningependa kujua ni ofisi ipi tukio hili lilipotokea, maana tuna ofisi nyingi na huyo dada mweupe alikaa upande upi ukinisaidia kwa hilo nita hakikisha hili swala haltokei tena.
kwa ujumla fastjet tutawaonya na kuwakumbusha wafanyakazi wetu wote juu ya umuhimu wa kuwa na lugha nzuri na yenye busara. nakuahidi measures will be taken.
ASANTE KWA KUICHAGUA FASTJET
cheap is expensive.
cheap is expensive.