tycoon
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 510
- 567
Poleni kwa majukumu, mwana JF yeyote anayejua sababu za Fasjet kuondoa hii route ya Kilimanjaro Mwanza Kilimanjaro maana mwezi uliopita ilikuwepo ONLINE ila kwa sasa haipo.
Au ni mbinu za kibiashara ukitaka kwenda Mwanza upitie kwanza Dar.
Ukipiga namba yao iliyopo kwenye web yao ni matangazo utaishie kusikiliza.
Au ni mbinu za kibiashara ukitaka kwenda Mwanza upitie kwanza Dar.
Ukipiga namba yao iliyopo kwenye web yao ni matangazo utaishie kusikiliza.