Fast and furious Naipa rate ya 7/10

Fast and furious Naipa rate ya 7/10

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
561
Kama ww ni mpenzi wa car racing na stunt basi hii movie ya mwendelezo wa fast and fuirous inakufaa

Han hakuwa amekufa amerudi tena kifo chake kilikuwa kimetengenezwa na mr nobody ili afanye kazi yake vizuri pasipo buguza huko tokyo na hukohuko anafanikiwa kumuokoa binti anamlea mpaka anakua

Yaani kuna bibi mwizi wa gari na anakimbiza gari kama mwehu na akiiba uipati [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kiingine nilichoipendea hii movie ni hawa kina dom( Vin Diesel ) na team kutumia fursa vizuri na amazing idea pale walichukua ile magnetic car wakaenda kufunga kwenye gari zao

Ila vin ile scene ulitotupa bomu pembeni ya gari na likabinuka ukaweka usukani sawa ile nimeipenda

Hii movie ni nzuri kwa upanfe wangu naipa rate ya 7/10

Nipe maoni yako mdau wangu
 
With the alot of excpectations nairate hii Movie 5/10 imekua kama superhero movies zaidi

Sio mbaya sana ila kwa ulinganisho na zilizopita hii wamechemka bora ile Hobbs n Shaw ilikua poa sana.....
 
With the alot of excpectations nairate hii Movie 5/10 imekua kama superhero movies zaidi

Sio mbaya sana ila kwa ulinganisho na zilizopita hii wamechemka bora ile Hobbs n Shaw ilikua poa sana.....
Watu wa action include ngumi ndo watatoa hizo rate ila watu wa stori na racing stunt tunaipa 7/10
 
With the alot of excpectations nairate hii Movie 5/10 imekua kama superhero movies zaidi

Sio mbaya sana ila kwa ulinganisho na zilizopita hii wamechemka bora ile Hobbs n Shaw ilikua poa sana.....
Sina hamu ya kuipakua, nimeona ina 5.4/10.
 
fast five ilikuwa real sana
hizi nyingine ni takataka

naona na ya kumi wataileta nimemuona jason mwishoni
 
Back
Top Bottom