We ulikua na sababu nyinfine ya kumuacha msichana wako sio kisa Shati .... uliunganisha matukio ukapata sababu
Back to Topic... ni kukosa creativity na kuigana tu.....
wanaweza shona African print ka wakawa bomba zaidi
Hahahahahaa mkuu umenifanya nikumbuke videos kadhaa za Rose Muhando,Bonny Mwaitege n.khivi kwanini madansa wa waimba injili huwa wanatabasamu tuseme wanagrin muda wote? mpaka wanakuwa kituko.
Nikuambie kitu,edit hiyo post na uondoe hicho kipande cha kumuacha mpenzio kisa shati la kumeremeta.Hahah alifanya kitu anachojua sipendi[emoji1]
HahahahNikuambie kitu,edit hiyo post na uondoe hicho kipande cha kumuacha mpenzio kisa shati la kumeremeta.
Si unatujua tena Waafrika ni vile alivyosema Donald Trump?
Mada ya fashion itawekwa kando litajadiliwa hilo.
Mhhhhh hebu tujuze walau kidogo mumy,wengine kama mimi sijawahi kabisa kudate na mlokole!Hata kugegeda walokoke wanastili zao