Fasheni zingine zinachosha jamani..loh

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
40179_452443970378_764171_n.jpg
 
Ole wao waliomvika mnyama mtakatifu mavazi ya kimagharibi. Usishangae kusikia maandamano dunia nzima kupinga kudhalilishwa kwa mnyama mtakatifu kwa kumvisha kikafiri. Alipaswa avishwe hijab kama siyo niqab. Natania hata hivyo.
 
Utani gani huo! Mwenzio nilishaanza kupandisha munkari!
Kwa kweli haki za wanyama hazijazindatiwa, the shoes are too high!
Ole wao waliomvika mnyama mtakatifu mavazi ya kimagharibi. Usishangae kusikia maandamano dunia nzima kupinga kudhalilishwa kwa mnyama mtakatifu kwa kumvisha kikafiri. Alipaswa avishwe hijab kama siyo niqab. Natania hata hivyo.
 
Pole sana King'asti wa kupandisha munkari na kutaka kung'ata king'asting'asti. Usijali huyo ni mnyama tu tena aliyeharamishwa na torati. Waswahili tunahitaji haki za watu wetu kabla ya wanyama. Hivyo mie haki za wanyama hazinshughulishi so to speak. Nilisema vile kwa vile vitu vya Middle East vinaonekana kuwa vitakatifu hata kama haramu kama huyu jamaa ambaye kwato zake hazijagawanyika. Anyway, ni utani mwanangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom