Faru John azua kizaazaa star tv

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,325
152,136
Mjadala wa Faru John unaendelea star tv ila kinachoonekana ni wataalamu kutoka wizara ya maliasili kushinwa kujibu baadhi ya maswali na kutowaridhisha watangazaji na hivyo kuleta mabishano kidogo hapo studio.

Watangazaji wanataka takwimu huku wataalumu wakisiti kuzitoa.

MADA:Je,ukweli wa Faru John ni upi?

Fuatilieni mjadala
 
Pembe za Faru John zishasagwa kutengeneza Mkuyati wa Kurudisha Heshma Nyumbani
 
Mbona issue simpo tu...Kifo/kupotea kwa Faru Wizara ya maliasil itoe majibu, Kifo/kupotea kwa Ben Freeman Mbowe atoe majibu
 
Salary Slip je hii issue ya faru John sio ufisadi?
Nadhani Maghembe anatakiwa aunganishwe na kundi la maafisa waliohisishwa na kumyeyusha faru wetu mpendwa John Hamis wapelekwe mahakama ya mafisadi ambayo mahakimu wake wanalipwa mishahara DEZO
 
Star tv? sikumbuki nilitizama lini hii chanel
Ha ha ha....by mistake wakati natafuta channel ya kutizama nikaangukia Star TV, nikakutana na mada ya Faru John, wale jamaa wa utalii watakua wanajuta kwanini walikubali wito. Full kujichanganya.
 
Back
Top Bottom