Faru John aliondolewa Ngorongoro kwa ukorofi - wahifadhi

Halafu sio muuaji wala hawanyang'anyi chakula anawanyang'anya mademu sasa wao wahifadhi kinachowauma wahifadhi nini?
Hawa jamaa sijui vipi inajulikana kabisa kwamba mwenye kisu kikali ndio anakula nyama hiyo sheria ya dunia halafu wao wanataka kuzuia. Halafu hao faru si wapo wachache kwanini walimzuia kuongea wenzake
 
Back
Top Bottom