donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Ni kilo ya nini mkuu?Kilo moja sokoni kwa sasa ni 1000/=
Ni Kitunguu au Kitunguu saumu.Ni kilo ya nini mkuu?
Sorry sijajua kwenye picha ni nini
Vitunguu maji.Ni kilo ya nini mkuu?
Sorry sijajua kwenye picha ni nini
Hivyo ni vitunguu mtoto mzurii..Ni kilo ya nini mkuu?
Sorry sijajua kwenye picha ni nini
Ni bei ya wapi hiyo? 1kg inauzwa buku?Kilo moja sokoni kwa sasa ni 1000/=
Oooh thanksHivyo ni vitunguu mtoto mzurii..