farkhina upishi kitamboo kumbe,naona unajinunulia tungule hapo
Alikuwa anapita bana acha kumwonea.
Kumbe farkhina mrembo namna hiyo!
Hahahah nakwambia tungule za kupikia mchuzi....miss u kaka angu wifi hajambo?
Hawajambo wote my dearest dada, miss you too. Vip familia yako??!!