Huyu Faris amerudia kauli zake za vitisho baada ya kusema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie amerudia tena kwa Watu waliopanga kuandamana Oktoba 29
=
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, amewasihi na kuendelea kuwaomba wananchi wa mkoa wa Kagera kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 mwaka huu kwenda kupiga kura nyingi kwa wagombea wa Chama Cha Mapinduzi na kuachana na upotoshaji unaoendelea kwenye mitandao ya kijamii kuhusu uvunjifu wa amani siku hiyo ya uchaguzi.
Faris amesema ubora, uweledi na umahiri wa wagombea walioletwa na CCM kwa wananchi, ni kielelezo tosha cha wananchi kuwapigia kura nyingi ili wakaisimamie Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2025-2030 inayolenga kusogeza huduma kwa wananchi.
Faris ameyasema hayo Septemba 23, 2025 kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea ubunge wa jimbo la Bukoba Mjini, Injinia Johnston Mutasingwa uliofanyika kwenye kata ya Kibeta na kuhudhuriwa na wananchi wengi wa Kibeta na Bukoba mjini kwa ujumla.
Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana

Mimi hata kabla ya kufika kwenye swali la Watanzania wako tayari kuandamana au hawako tayari, naona tatizo wasiotaka uchaguzi kuandamana siku ya uchaguzi.
Hata kama Watanzania wangekuwa tayari kuandamana.
Kwa sababu wanaotaka uchaguzi wana haki ya kufanya uchaguzi bila bughudha wala kuingiliwa na maandamano siku ya uchaguzi.

Kwani wamesema wataenda kwenye vituo vya kura na kuzuia watu kupiga kura au watakuwa barabarani wakifanya yao?
Suala jingine ni kuhusu stratergy, tunaijua TZ yetu, ikiwa that predictable nini kitatokea....maandamo ya amani kibao tumeona vile yakipigwa pini! Mi nasubiri surprise ya Gen Z wetu😎😎

Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.
In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.
Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.
Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo kinyume chake?
Sawa. Hata kama haki ya kufanya uchaguzi haipo, kufanya haya maandamano siku ya uchaguzi kunairudishaje hiyo haki?
Na kuna watu wamekubali kufanya uchaguzi, haki hiyo iwepo au isiwepo, wamekubali kufanya uchaguzi.
Huoni kuwa watu hawa wana haki ya kufanya uchaguzi, na kuwaingilia na kuwabughudhi kwenye siku yao ya kufanya uchaguzi ni vibaya? Whether ni uchaguzi kweli au maigizo it doesn't matter, wao washakubali.
Kwa nini maandamano haya yafanyike siku ya uchaguzi wakati kuna siku nyingine nyingi tu katika mwaka?
Kwa nini maandamano yasifanyike hata siku moja kabla ya uchaguzi?
Sawa. Hata kama haki ya kufanya uchaguzi haipo, kufanya haya maandamano siku ya uchaguzi kunairudishaje hiyo haki?
Na kuna watu wamekubali kufanya uchaguzi, haki hiyo iwepo au isiwepo, wamekubali kufanya uchaguzi.
Huoni kuwa watu hawa wana haki ya kufanya uchaguzi, na kuwaingilia na kuwabughudhi kwenye siku yao ya kufanya uchaguzi ni vibaya? Whether ni uchaguzi kweli au maigizo it doesn't matter, wao washakubali.
Kwa nini maandamano haya yafanyike siku ya uchaguzi wakati kuna siku nyingine nyingi tu katika mwaka?
Kwa nini maandamano yasifanyike hata siku moja kabla ya uchaguzi?
Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.
In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.
Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.
Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo k8nyume chake?
Shida ni moja—CCM is an extremely repressive political entity. In substance, Serikali ya CCM, kupitia Kangaroo court, imeifungia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Ndiyo maana huzioni tena zile rallies za NRNE ambazo zilishika kasi kubwa miezi minne iliyopita. So, jukwaa ambalo CHADEMA walikuwa wakilitumia kuwafikia wananchi more effectively limekuwa shut down. As if that wasn’t bad enough, hata mikutano yao ya ndani wakati mwingine inavamiwa na kusambaratishwa na PoliCCM lawlessly!
Huyu nyang'au mwaka jana alitoa tishio la namna hii hii na watu kweli wanapotea na policcm wako kimya.
Huu ni ushahidi tosha hata alichokisema juzi Polepole kuwa kikundi kinachoteka watu kinaundwa pia na UVCCM na wamewekwa nyumba moja Masaki , ipo siku ushenzi wa hawa watu utatumika kama ushahidi.
Yes wazo langu kama lako nguvu waliyoweka kwenye maandamano wangewaelimisha watu wasijitokeze kabisa kwenye kupiga kura ungekua ujumbe mzuri kiufupi watanzania kuandamana bado sana
Hata bila kwenda kwenye vituo vya kupiga kura, maandamano makubwa siku ya uchaguzi yanaingilia uchaguzi.
In principle kutatakiwa kuwe na resources za kulinda hayo maandamano, resources hizohizo ndizo zitatakiwa kutumika kulinda uchaguzi.
Mpaka hapo kushakuwa na conflict tayari.
Kuhusu strategy na predictability, huoni kuwa kufanya maandamano siku ya uchaguzi ndiyo kuwa predictabke na kuamua kufanya maandamano siku nyingibe isiyojulikana ndiyo k8nyume chake?
Hapo huoni kuwa mmeingilia uhuru wa watu wengine walioamua kupiga kura na kulindwa na hao polisi, na kama kuna matatizo ya kwenye uchaguzi mlitakiwa myatatue hayo matatizo mengine bila kuingilia uhuru huo?
Shida ni moja—CCM is an extremely repressive political entity. In substance, Serikali ya CCM, kupitia Kangaroo court, imeifungia CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Ndiyo maana huzioni tena zile rallies za NRNE ambazo zilishika kasi kubwa miezi minne iliyopita. So, jukwaa ambalo CHADEMA walikuwa wakilitumia kuwafikia wananchi more effectively limekuwa shut down. As if that wasn’t bad enough, hata mikutano yao ya ndani wakati mwingine inavamiwa na kusambaratishwa na PoliCCM lawlessly!
Kama ni reasonable kuandamana kabla ya siku ya uchaguzi haramu, haiwezi kuwa unreasonable kuandamana siku yenyewe ya huo uchaguzi haramu. If anything, its impact on voter turnout ni kubwa zaidi.

Katika nchi inayofuata rule of law and non violent protests, na kupima hoja in the marketplace of ideas rather than violent confrontations, kama uchaguzi ni haramu, wanaoukataa huo uchaguzi walitakiwa kuwa na uwezo wa kuwaeleza wananchi uchaguzi huu ni haramu, na kuupinga kwa maandamano all the way mpaka hata siku moja kabla ya uchaguzi.
Halafu siku ya uchaguzi wawaachie wananchi wafanye uchaguzi bila bughudha yoyote. Na wasiotaka kufanya uchaguzi wakae majumbani mwao wasusie uchaguzi.
Kama hoja za wasiotaka uchaguzi zina mashiko na zimeshawishi watu, watu wataandamana hata kwa kususia uchaguzi na kukaa majumbani mwao.
Kutopiga kura katika uchaguzi pia ni kupiga kura ya kutokuwa na imani na uchaguzi huo.
Kufanya maandamano siku ya uchaguzi ni kuwapa point watu wanaosema kuwa watu wasiotaka uchaguzi wanataka kuwafanyia fujo wanaotaka kutimiza haki yao ya kupiga kura.
Na hapo ndipo mtawapa Polisi sababu na justification ya kupiga watu risasi na virungu kwenye hayo maandamano.
Mmeshindwaje kuandamana siku zote hizo mkasubiri siju watu wanajifanyia uchaguzi wao ndiyo na nyie mtake kuandamana siku hiyo hiyo?
Huoni kuwa huo unaweza kutafsiriwa kuwa ni mpango wa kuleta fujo siju ya uchaguzi tu?