Farasi 4 wanahitajika...

Mshawa

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
776
306
Wawe na umri wa miaka 3 hadi 3.5, wale wa rangi ya brown, wakiwa wamepewa mafunzo watafaa zaidi, ikiwa unao ama unajua wanapoweza kupatikana hapahapa Tanzania tafadhali nijulishe, kwa pm bei, na namna ya kuwapata, Best regards.
 
Mkuu umeanza kufuga Mbuzi sku hizi? Dah, huo usafiri huku kwetu utafaa sana, ukipata utanijuza bei na mm!
 
Contact na watu wa ranch za taifa especially ya West Kilimanjaro, Kitulo,Kongwa au Ruvu wanaweza wakaku hook up na wafugaji wazuri sana wa farasi na common breed iliyopo sana bongo ni arabian horse na ni nzuri zaidi kwa mazingira yetu because kwa wao ni vigumu kupata homa ya farasi "equine fever" ambayo breed nyingine zinakufa sana na huo ugonjwa.
last time nilisikia kuna mtu pia eneo la west kili tofauti na ranch pia nae anafanya horse breeding. Another option ni Dolly Estates ziko Arusha zinamilikiwa na wazungu fulani hivi waliohama from Zimbabwe. Bei zao inategemea but kwa hawa wa ranch nafkiri wanaanzia kwenye 3M per horse. Ngoja nikipata contacts nitakutupia.
 
Thanx very much 4 the updates Don Mangi, ill do it, na ukipata izo contacts nirushie Meku.
 
Thanx very much 4 the updates Don Mangi, ill do it, na ukipata izo contacts nirushie Meku.

Unakaribishwa mkuu sema nimejitahidi kutafuta contacts sijapata ila embu cheki contacts za National Ranching Company NARCO nahisi hizo ni rahisi kuliko za jamaa wa dolly au west kili
 
Kuna jamaa ana ranchi njia ya kuelekea dar zoo (kibada kwa mbele). Huwa naona farasi kadhaa pale unaweza kujaribu kuanzia pale kama upo dar....hata kama wao hawauzi bila shaka wanawezajua pa kuwapata.
 
Back
Top Bottom