Farao aliyepewa ufarao akiwa gerezani

Farao aliyepewa ufarao akiwa gerezani

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,374
Reaction score
3,395
Na mwombea farao ang'amue ya kwamba kiburi,dharau,na upuuzi wake si bule Wala wa kujitakia

Bali Kuna nguvu isiyo ya kawaida nguvu ipitayo nguvu zoote

inayo msukuma farao kufanya hivyo kwa makusudi ili maandiko ya shekhe yahaya yatimie.

Ingekuwa vema farao Ange kubaliana na matokeo kwamba

SASA NI WAKATI WA YULE MFUNGWA WAKE KUWA MFALME WAKE ..

hiyo Inge kuwa afadhari yake kwa kesho yake


..Mda ulio Baki ni mchache Sana ,,
 
mtu anamimba yupo ikulu na bado anawaza kuwa ikulu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom