Faraja kota

Status
Not open for further replies.

Wambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
557
319
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please
 
Mkuu uko mbali sana na dunia bongo eh?
4.JPG

Do they look like siblings here....?
 
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please

lol...... ni mke wake wa ndoa.
 
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please

Amejitunza sana mpaka waziri kajibebea
 
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please

Umenichanganya kwanza inaonekana unajua kwamba ni mtu na mke wake
 
Eh taratibu nyalandu asisikie eti umeuliza lundenga hajafanyaje? Kwani hajawahi kuwa miss huyu?eh shhhhhhhh nyalandu huyo!

watu kama lundega ni wa kuogopwa kabisa... Yan kila mshind amemla.. Tena miaka hiyo ya 2004 jamaa alikuwa bado kijana zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom