pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,249
Kaka, mifuko hii japo hakuna sharia inayokataa mifuko hii isitoe fao hilo bado imengangania kwani serikali ina mkono wake hapa hasa kutokana na namna ilivyochukua fedha nyingi kwa ajili ya kampeni zao.Kusema kweli mifuko mingi ya Tz ni majanga kwa wachangiaji kuanzia wanachompa mstaafu na kupata mafao pia ni shida!