Mkuu Mpadmire,
Jaribu kutendea haki umri wako kwa kushirikisha ipasavyo ubongo wako.
Hoja ya whatsapp group ni ya kipuuzi kuliko.
Unaweza vp anziwa hilo group ambalo litabeba wafanyakazi wote ambao ni 5% ya Tz sote na kati ya hao chini ya 1% hawamiliki smart phones.
Nani hasiye jua kuwa suluhisho la kero za wafanyakazi ni wafanyakazi wenyewe kupitia vyama vyao.
Kwanza kupitia meza ya mafidhiano baina ya pande zote, mwajiri/serikali na mwajiriwa.
Pili ni hatua ya mwisho endapo vipengele vya hatua ya kwanza kushindwa fikia mwafaka dhidi ya ajenda husika. Nayo ni Mgomo na maandamano ya wafanyakazi wote (solidarity).
Hatua zote hizo zinakuwa facilitated kupitia maeneo ya wafanyakazi au sema matawi ya vyama kwa mikutano maalum kiamasisha jambo husika.
Wewe unakuja na drama zako za kitamthilia, tukisema unapanic.
Kilaza sio kilazer.