Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,860
- 50,644
Aisee....Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.
Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?
Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.
Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.
Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.
Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Tlaatlaah mwanzoni nilijua ni robot kumbe ni akaunti ya ofisi pale Lumumba.
Sema jambo Taifa lipone.Aisee
Hana cha kusema. Labda akipewa cha kusema atasema.Sema jambo Taifa lipone.
Sina maoni😊Sema jambo Taifa lipone.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.💪🏿🔥Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.
Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?
Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.
Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.
Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.
Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Hapa unataka kusema je 🤔Hana cha kusema. Labda akipewa cha kusema atasema.
huna haja ya kupotosha wadau wa Jf kwa porojo nonsense kama hizo gentleman.Tlaatlaah mwanzoni nilijua ni robot kumbe ni akaunti ya ofisi pale Lumumba.
Wataalamu wametueleza hakuna mtu anayeweza kuwa mtandaoni 24/7. Kwa ivo Tlaatlaah ni timu na siyo mtu.
Huyu Lucas Mwashambwa kwanza aliambiwa na johnthebaptist kuwa hilo jina siyo lake na hakubisha. Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba.
Utaratibu wa heche unajulikana wazi kabisa gentleman. Lema na Sugu wanajua mwanzo wa ufisadi wa heche hadi mwisho.Tajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.
Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?
Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.
Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.
Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.
Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Dah! Haya yangelikuwa maswali kazuri, kinoko ya dodoso i.e cross examination mbele ya majaji ingependeza! Hongera for this formulationTajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.
Elezeeni Heche ilikuwaje akachukua hizo Hela na kwa utaratibu upi?
Tajeni akaunti ambazo fedha hizo zilitolewa , benki husika,siku na kiasi kwa kila muamala.
Pia onesheni kama Heche hizo hela alichukua huku signatories wa chama wakijua ama bila ya kujua.
Kila anayetuhumu atueleze yeye binafsi keshachangia kiasi gani kwa CHADEMA.
Pia kila anayetuhumu aoneshe ndani ya mwaka mmoja uliopita amewahi kufanya jambo/kazi gani ya chama.
Kama anayetuhumu ni kiongozi, aeleze ni lini na wapi kwa ngazi aliopo kulifanyika kikao ambacho kimemtuma yeye kusema ama kutoa tuhuma dhidi ya Makamo Mwenyekiti wa chama.
Imagine eti hizi ndo akili na juhudi za vyombo propaganda vya dola kuua chadema. No wonder Tanzania imedumaa kimaendeleoTajeni kiasi ambacho John Heche amechukua kutoka CHADEMA.