NingaR Nimekupata barabara..,unajua problem ni kuwa huwa nimezoea S udv=uv-S vdu so ulipoanza na S vdu=uv-S udv uliniuza kidogo....,nisharejea sasa. Approach nzuri. Level gani ya elimu umefikia hadi sasa. Umenifurahisha.
Kila jema mkuu...,naamini utachomoka GPA kubwa. Nisaidie jambo moja mdau, hivi mtu za tele zinafanya wapi field.