Fanya starehe lakini usisahau kutenga bajeti ya ujenzi

Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Mkuu wewe uza mbao zako tu ila mipango na matumizi ya pesa zetu tuachie wenyewe.
#KujengaNiWogaWaMaisha
 
Tunakumbushana tu wadau hasa vijana. Starehe na maisha.

Fanya kazi kwa bidii, kula bata kiasi kisha tenga bajeti ya ujenzi. Hiyo ndio siri ya mchezo.

Mbao zipo, ukihitaji tutafute, tutakuuzia kwa bei rafiki utimize lengo.

Wikiendi njema!
Upo wap na mbao
4*2
3*2
10*1
Bei gan kaka
 
Upo wap na mbao
4*2
3*2
10*1
Bei gan kaka
Karibu sana. Huduma zetu zipo Dar es salaam.

Mbao za futi 20
2×4 futi 750
2×2 futi 350
1×8 bei 14000
1×10 bei 17000

Mbao za futi 12
2×4 bei 5800
2×2 bei 2900

Kwa maelezo zaidi tucheki kwenye namba hii 0782 425190.

Karibu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom