its MalekoGJ
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 135
- 285
HATARI TATU ZA KISIRI KWENYE META UNAZOPASWA KUZIZIMA MARA MOJA!
Katika ulimwengu wa kidigitali, kila ‘like’ unayobonyeza, kila kitu unachoangalia, na kila chapisho unachotazama—kinafuatiliwa. Meta (Instagram, Facebook, na bidhaa zake nyingine) hutumia taarifa zako kukut bombard na matangazo yasiyoisha. Lakini unaweza kuchukua usukani leo.
Hizi ndizo 3 SETTINGS ZA HATARI unazopaswa kuzima mara moja ili kulinda faragha yako na kuboresha feed yako:
1️⃣ Zima Matangazo Kutoka kwa Washirika wa Matangazo (Ad Partners)
Meta hushiriki data zako na washirika wa matangazo. Hii inamaanisha taarifa zako binafsi zinaweza kutumika kukuonyesha matangazo nje ya Instagram au Facebook.
Hatua:
Fungua Instagram
Bonyeza 3 lines (kushoto juu) → Nenda kwenye Settings & Privacy
Chagua Ads → Ad Topics
Zima chaguo la Ad Preferences from Partners
2️⃣ Zima Matangazo ya Ndani ya Meta (Activity-Based Ads)
Meta hutumia kila hatua unayochukua mtandaoni kutengeneza mafaili ya matangazo dhidi yako. Kila klik, kila search, kila swipe — inatumika kibiashara.
Hatua:
Baki kwenye sehemu ya Ads
Chagua Ads from Meta
Zima sehemu ya “Activity outside Meta” ili kuzuia kufuatiliwa kila mahali
3️⃣ Punguza Maudhui Nyeti (Sensitive Content)
Instagram inaruhusu maudhui ambayo yanaweza kuwa ya kushangaza au yasiyofaa kuonekana mara kwa mara. Unaweza kuyapunguza.
Hatua:
Rudi nyuma kwenye Settings
Chagua Content Preference → Sensitive Content Control
Badilisha kwenda LOW au LESS
FAIDA ZA KUFANYA HAYA:
Unaweka mipaka kwenye unachopokea
Unazuia kuwindwa na algorithms
Unapata feed safi na inayokufaa
Unaongeza usalama wa taarifa zako binafsi
JE UMESHAZIMA HIZI SETTINGS?
Chukua dakika 3 tu leo — linda akili yako, linda taarifa zako, kuwa na udhibiti wa mtandao wako.
SHARE makala hii kumsaidia rafiki anayechoshwa na ads au maudhui ya ajabu kwenye feed.
Umechukua hatua kulinda faragha yako sasa chukua hatua kuboresha vifaa unavyotumia!
Usilinde taarifa zako kwenye simu au laptop ya kizamani.
Maleko nakuletea laptop kali, original, na vifaa vya kisasa vya tech kwa bei ya #kamabure
Tunauza:
Laptop za kisasa (HP, Dell, Lenovo, MacBook)
RAM, SSD, Flash Disk, External Hard Drive
Mouse, Keyboard, Chargers, Ring Light, Mic, na zaidi!
Free delivery Dar + Warranty ya uhakika
Follow @GoodluckMalekoJ on X au niDM
Au nicheki WhatsApp 0675 031 229
sasa hivi.
Tunaweka kasi, usalama, na ufanisi mikononi mwako.