Fanya lolote utakalo ndotoni-lucid dreams

Fanya lolote utakalo ndotoni-lucid dreams

Mtoa mada unapenda sana ngono that's why umefurahia sana swala la kula uroda jokate na wafanyakazi wote ofisin,hongera sana sasa naomba uote pesa za zetu za ESCROW tumegaiwa wananchi wote japo tupike pilau majumbani kwetu...
 
Madream Fungua UZI Wangu WA Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Utakavyo (Lucid dream)

#Rakims
 
Duh... Hii hali hata mie huwa inanitokea, nakuwa ndotoni ila naanza kumsimulia mtu ndoto niliyoiota ndani ya ndoto. Au naanza kuifikiria ndoto niliyoiota nikiwa ndoto

Ndoto ndani ya ndoto.... :doh:
 
Sasa mtoa mada fanya mpango wakamate wooote na pesa zetu za ESCROW. then walete kwangu kwanza ndio ntaelewa
 
nyie ndio mnaofanya bange yetu ionekane haramu
 
Hiyo lucid dream ndio OBE out of body experince?
 
Hii thread huwa naipita kumbe inanihusu.. Kiukweli uliyoyasema mtoa mada kwa kias kikubwa huwa yananitokea.. Mara nyingi sana huwa naota nipo town mchana kweupe naamua kupaa hewani halafu watu wanakusanyika kunishangaa then nasepa naenda kokote nitakako. Pia niliota gari yangu imepata ajali mbaya na nikaitazama gari na kujisemea ila niko ndotoni kumbe then nasema thank God it's just a dream.. Na hayo najisemea nikiwa bado ndotoni...na mengine mengi tu huwa najiuliza hivi naota ama? Then najisemea ni ndoto tu ngoja niendelee na mambo mengine.. Ajabu sana...Ntagoogle nisome nijue aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom