Fanya hivi usiku wa manane

samahani mkuu mimi sio mfatil;iaji wa muvi ila unaweza nipa hinti kidogo mkuu maana YAKUZ NA YAVUZ Imeleta maajabu mjini leo
Ni Series Ya Kituruki Ya Kivita Sasa Kuna Kikosi Cha Makomandoo Kadhaa Wao Ni Mission Kwa Ajili Ya Kupambana Na Magaidi Imevuma Sana Vibanda Umiza Kwa Wale Vijana Mtaani Kwako Waliojiajiri Na Studios Za Kurusharusha Movies Wanayo Sana
 
Duuuh Mkuu ngoja niicheek hapa tuone ila inaelekea ili neno YAKUZ NA YAVUZ ni mafanikio kwa wengi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…