Fanya hivi usiku wa manane

Fanya hivi usiku wa manane

ukweli hapo Jamaa wa Kawe karbu na kwa mwinyi Wana Haki kufungia uzi ila ni wa baguzi japo bado uzi wako ni wa kufikirika Ila kufungia sio poa maana Kila mtu aamue na kichwa chake mm Nilianzisha uzi..Jana na wamefuta japo ni mtazamo wangu Ila Mzungu Ana akili mno, Afuti kitu ni juu yako na watu wako ..eg Facebook , insta...
 
Mara ghafla uone mama mwenye nyumba ndo anakuja 😂😂
Ahahaha kwanza anakaa mbali huyo.
Sema kazingua sana aisee wamama wa dar hawana huruma nimejaribu kuwa nae karibu nimfanye mshangazi ila wapi..

Yeye mda wote anafosi salamu tena ya shikamoo.. 🤕🤕
 
ukweli hapo Jamaa wa Kawe karbu na kwa mwinyi Wana Haki kufungia uzi ila ni wa baguzi japo bado uzi wako ni wa kufikirika Ila kufungia sio poa maana Kila mtu aamue na kichwa chake mm Nilianzisha uzi..Jana na wamefuta japo ni mtazamo wangu Ila Mzungu Ana akili mno, Afuti kitu ni juu yako na watu wako ..eg Facebook , insta...
YAKUZ MARA 300
 
Kuna tofauti gani na zile maneno anazotamka mganga akizikili kwa majini yake ?
Haya ni majina ya malaika ambao kazi yao ni kuangali yajayo ni kukufikishia kwa njia ya maono.

Usiku wa manane ni usiku tulivu mno
 
Nimeshayakopi hayo maneno.

Wakati wa kujamiiana nitatamka hayo maneno nikiona mbolo langu limelala chali baada ya kufunga goli moja la counterattack.
Daaah aiseee nimesikitika sana...
Sema its oky maana haya maneno yana maajabu ila usizidishe zaidi ya mia saba maana yanaweza leta effect mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom