Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,855
- 58,645
- Thread starter
-
- #201
Ungewahi toka jana ungepata kitu mkuuππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππView attachment 3298051
Kwahiyo leo yavuz haifanyi kazi?Ungewahi toka jana ungepata kitu mkuu
Mpaka saa nane..Kwahiyo leo yavuz haifanyi kazi?
Nawewe mtaalamu yakuz imekupa nini?Mpaka saa nane..
Kuna watu wametoa ushuhuda humu kuhusu YAKUZ NA YAVUZ mkuu
Hahahah π, kweli kabisa mkuu.YAKUZ YAVUZ IMEKUSAIDIA
Mkuu nina mshangazi mpya hapa mjini unamiliki hardware pale mombasaNawewe mtaalamu yakuz imekupa nini?
Usisahau trump kachomoa battery, ukimwi utakuondoa....Mkuu nina mshangazi mpya hapa mjini unamiliki hardware pale mombasa
Mkuu wangu mi ni next levelNawewe mtaalamu yakuz imekupa nini?
Mi nipo makini mkuu alafu nana leo ofisini kaja dada angu wa nguvu kanipa connection nyingine ya katoto ka 2k ila kameolewa banaUsisahau trump kachomoa battery, ukimwi utakuondoa....
Daah mkuu hapo umechanganya maaba yakunuz ni level nyingine kabisaYakunuz imekaaje mtumishi?
sasa mara mia 3 si kutafuta uchizi tu mjombaaMkuu usilete joke kwa mambo ya imani unajua hata maana ya angelology wewe mpaka ukasema vile...
Sasa sikia mda huu tafuta majani ya chai chemsha na mwalivela alafu kunywa huku ukinuia kwa kusema haya maneno YAKUZ YAVUZ MARA MIA TATU
Imebidi nifukue uzi huuHi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..
Leo natoa somo moja ambalo kama una roho nyepese usije jaribu hata kidogo.
Ikifika sa nane usiku jifungue chumbani kwako kama upo na mwenzako mwambie akupishe maana hilo jambo ni pasua kuchwa kidogo.
Baada ya hapo hakikisha ujavaa nguo zenye kukubana sana yaani uwe freely.
Katika hiko chumba hakikisha hakuna maji, chumvi wala kitana au chanuo.
Chukua simu yako kisha weka hii nyimbo kwa sauti kubwa sana kama una earphones vaa (Hoist the colour)
View attachment 3297278
Nyimbo hii inapoanza kuimba weww kuwa unasema haya maneno mara kwa mara
(YAKUZ, YAVUZ )
View attachment 3297527
Mda huo unakua umekaa chini ujaegemea popote pale. Baada ya nyimbo kuisha kwa kuwa uliweka repeated one mara ya pili acha kusema haya maneno ila sasa hvi sema chochote unachotaka kukiona mda huo unakua umefumba macho.
Nb unapoonza hakikisha unamaliza
Kuna watu wanachukulia poa oky oky ngoja tuoneImebidi nifukue uzi huu
Hizi elimu zao jau sana mkuuππHi ni mara ya pili natoa elimu ya Angel number lakini mod wamekua wakifuta kila siku its oky..