Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Jamaa kaelezea kwa lugha rahisi huku ukiwa unaona jinsi watu wanavyoweza kukudaka ukiwa umeachia sehemu ya location kutumika kwenye mtandao Instagram. Fuata maelekezo, jilinde.
Mbali na hili, tofauti na biashara acha kupenda kupost maeneo unayopenda kutembelea au unapopoa mara kwa mara, hadi ukitaka kujamba huyo ushapost!
Hata bila kuwasha location ni rahisi watu kukuotea na kukupata, anajua akitembelea maeneo yako matatu manne lazima akupate sehemu moja wapo.
Pia usisahau hili: Chukua tahadhari: Kuna watu wamemwagwa kufuatilia wanaopinga Serikali ya Malawi, acha kuropoka ovyo mtaani!