Toka umezaliwa Leo ndyo umeongea pointUkiwa ugenini kamwe usithubutu kubakisha chakula hata kama ni kingi kiasi gani ,,ukibakisha utamsononesha mpishi atajiona hajui kupika.
Pia usiagize maji ya dukani,kunywa yale yale utakayopewa,ukikataa watahisi umewadharau .
Nigeria kuna nini?