Fanya Haya Maskhara Bongo Uone Cha Mtema Kuni

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
560772_438296179562505_2137030067_n.jpg

Yaani ingekuwa bongo hapa tayari saa nyingi washakikata hicho kinanii chake
 
Kitu Kizito Chenye Ncha Kali Ingekuwa halali yake...Wala asingejua kimetokea upande gani..
 
Kitu Kizito Chenye Ncha Kali Ingekuwa halali yake...Wala asingejua kimetokea upande gani..

Hivi ni kwa nini huwa hawasemi vitu (silaha) kwa majina yake halisi ? Risasi, rungu, panga, kisu, nondo, bomu, kofi, ngumi, kichwa !!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom