Fanikisha mahusiano ya mbali. . .

Swali la DC linajibika and i can tell you i have been there ndio maana nasema everything is possible with determination najua mtakuja na facts mbali mbali lakini still my argument inabaki pale pale it is possible more than you could ever imagine..

TF,

Sijui kama mie au Lawyer wetu (Klorokwini) tumesema kuwa it is impossible...Ila tumejaribu kueleza kuwa caveats zinazolizunguka hili suala zinalifanya lionekane kama vile haliwezekani. Labda katika mazingira maalumu na kwa muda mfupi sana...!!
 
Hii ni rahisi sana...kwa sababu muda huo wa mwaka mmoja ni mfupi sana na kama mko busy...one can easily deal with it!!

Lizzy,

Kwanza ndoa ya kukaa pamoja muda wote inaweza kuboa sana. Binafsi napenda sana kupata nafasi ya kuwa mbali na Bibi DC walau mara moja kwa mwenzi. Kwa hiyo kuwa katika mazingira ambayo tunaweza kuonana hata baada ya miezi 3 siyo tatizo. Hata hivyo jambo kama hilo linatakiwa liwe la muda mfupi. Mfano shule ya miaka 2-3.

Siwezi kukubaliana na jambo la mtu kuwa na kazi ya kudumu Mwanza au Kigoma wakati mwenzake yuko Dar......Binafsi naona haifai kabisa!! Ndoa ni ndoa na uchumba ni uchumba...Jambo kama hilo linafaa kwa wachumba na siyo wanandoa!
Hiyo ya kudumu babu DC hata mimi siifurahii kwakweli.Inaondoa maana nzima ya ndoa au hata mahusiano. Mnaweza mkaanza hivyo ila eventually msogezane karibu.
 
Dogo,

Determination is not immortal!! It has to be time bound!!
Babu kwanini mnabisha kwamba haiwezekani i've a couple of people being successfull in long distance relationship...mimi argument yangu ni kuwa tusiweke misingi ya kusema kitu fulanI hakiwezekani ili hali inawezekana kuna different circumstances ambazo zipo kwa kila mtu at a certain point lazima tukubaliane kuwa inawezekana
 
Aaaargh hiyo distance ya kila miezi minne mnaonana hata mbuzi anaweza kuvumilia (though pia sio rahisi kiviiile labda ukuwe mwaminifu kama mimi), mimi nimetoa mfano wa rafiki yangu ambae ashakata nyundo tano hapa na ana mwenza yuko mbali na yeye hata travel document hana, mzembe aliuchuna sana lakini sasa hivi anafyeka kiaina, na jamaa alikuwa anampenda manzi wake kitaitanic yaani
Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.
 
TF,

Sijui kama mie au Lawyer wetu (Klorokwini) tumesema kuwa it is impossible...Ila tumejaribu kueleza kuwa caveats zinazolizunguka hili suala zinalifanya lionekane kama vile haliwezekani. Labda katika mazingira maalumu na kwa muda mfupi sana...!!
Okay Babu hayo mazingira ni such as what? What makes it so difficult on your side?
 
Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.
Acheni nilog out lakini LDR haiwork na ujumbe wangu ni kama hamuwezi kufungashana virago mkasaifiri pamoja basi bora mkufe na umaskini wenu lakini mapenzi yatadumu.

lemme giv u a fair conclusion.

LDR is a gamble, play it at ur own risk. "half win, half loose" is the best u can guarantee out of it.
 
Jibaba kuna point unaimiss hapa. Unaweza ukakaa wiki nzima bila ya kula lakini hii haimaanishi kwamba ndio inawezekana kukaa wiki bila kula. Na unapokuwa na njaa ni very easy kuhongwa chakula kuliko unapokua umeshiba. dig deep utaipata point yangu
Kloro kuna wale wana chakula nyumbani na bado wakitoka nje wakihongwa watakula hicho chakula na ndio maana nikasema kuwa it doesn't matter uko North Pole au uko Morogoro
 
Mimi kidogo mpaka ninajisifu,niko married to someone,lakini ninakuhakikishieni sijawahi kum-cheat hata siku moja.Ninafanya kazi mbali na yeye lakini japo bado mimi ni kijana in my mid-twenties nimemudu kuyashinda majaribu,i don't care kama yeye ana-cheat dhidi yangu.

Naomba uendelee kumuomba Mungu kama haya ni makubaliano ya kudumu.

Ila suala unalolifanya ni sawa na kumchezea simba ambaye kasinzia.....Ukigonga 40 years, njoo utupe ushuhuda kama huu!!
 
Zote Kibunango.
Walioanza karibu ikabidi mmoja asafiri ,pia walioanza tayari wakiwa mbali mbali.
Nina mifano kadhaa kuhusu yote hayo mawili, ila sitaweka conclusion. Itakuwa ni jukumu la msomaji kujudge.

Galawoso (sio jina halisi) aliamua kuanzisha mahusiano ya mbali, ilikuwa ni kipindi kile chat maarufu ya IRC ilipokuwa kitamba sana kwa kukusanya dunia nzima katika mkondo mmoja. Moja ya sehemu ya chat hiyo ilikuwa ni mahsusi kwa ajili ya wale wapendao kupata wapenzi wa mbali. Galawoso alijiunga na chat hiyo, na baada ya muda sio mrefu aliweza kupamta binti mmoja, ambaye baada ya kuwasiliana kwa muda mrefu walijiona wao ni wapenzi. Hivyo wakawa rasmi kama ni wapenzi.

Njia kubwa waliotumia kudumisha penzi hilo ni mawasiliano kupitia chat hiyo na emails, hata mambo yakipozidi kufana na kujiona wapo karibu, walihamia kwenye simu. Hii iliweza kuwafanya kuwa karibu kabisa. Kipindi hicho webcam ilikuwa bado kuanza. Hivyo sauti tu ilitosha.

Galawoso kipindi hicho alikuwa ni mwanafunzi na mpenzi wake alikuwa ni mfanyakazi katika chuo kama Secretary, na moja ya kazi zake ilikuwa ni kupokea maombi ya wanafunzi wapya. Kilele cha mapenzi yao yaliyodumu kwa mwaka mmoja na nusu, ilikuwa kwa Galawoso kujiunga na chuo hicho ili aweze kwa mara ya kwanza kuwa pamoja na mpenzi wake. Binti huyo alihakikisha kuwa ni lazima Galawoso apate chuo hicho. Hivyo akamtumia fomu za maombi, na baada ya taratibu zote kwisha, Galawoso alifanikiwa kupata chuo, ikiwa ni hatua ya awali ya kuweza kuonana na mpenzi wake bila chenga.

Miezi mitatu kabla ya Galawoso hajapanda ndege kwenda kumwona binti huyo, alipokea email toka kwake ambayo imemsumbua hadi leo hii. Katika email hiyo binti huyo aliamua kuvunja uhisiano nae na mbaya zaidi kufuta hata hiyo nafasi ya kusoma chuoni hapo.

Binti alimweleza kuwa amekuwa akikutana mara kwa mara na kijana toka Nigeria, ambaye amemwambia kuwa Watz ni waongo sana kwenye masuala ya mapenzi. Na ni watu wa kutumia long distance relationship kwa manufaa yao binafsi. Hivyo basi ameamua kusitisha uhusiano nae, na kumtaka samahani kabla ya kuongeza kuwa wanaweza kuendelea kama marafiki.

Huo ni mfano mmoja... mengine itafuata...
 
Mimi kidogo mpaka ninajisifu,niko married to someone,lakini ninakuhakikishieni sijawahi kum-cheat hata siku moja.Ninafanya kazi mbali na yeye lakini japo bado mimi ni kijana in my mid-twenties nimemudu kuyashinda majaribu,i don't care kama yeye ana-cheat dhidi yangu.
Hongera sana kwa hilo.
 
Halaf leo nimemuintroduce member mpya ku join JF akikuja hapa na akiniulizia hakikisheni hamchafui CV, amepata ka loan nakanyemelea
 
TF,

Sijui kama mie au Lawyer wetu (Klorokwini) tumesema kuwa it is impossible...Ila tumejaribu kueleza kuwa caveats zinazolizunguka hili suala zinalifanya lionekane kama vile haliwezekani. Labda katika mazingira maalumu na kwa muda mfupi sana...!!

Babu kwanini mnabisha kwamba haiwezekani i've a couple of people being successfull in long distance relationship...mimi argument yangu ni kuwa tusiweke misingi ya kusema kitu fulanI hakiwezekani ili hali inawezekana kuna different circumstances ambazo zipo kwa kila mtu at a certain point lazima tukubaliane kuwa inawezekana

Dogo hebu soma tena hiyo post ya Babu hapo juu,

Hao successful life model wako wameishi maisha yao yote na kulea watoto kila mtu mbali na mwenzake???

Babu DC!
 
Miezi mitano bila kuonana ni mingi sana Kloro. . . hata kama utaweza kuvumilia hutokua na raha.

Kama unajua kuwa baada ya miezi hiyo 5 mnarudi kwenye maisha ya kawaida basi siyo mingi hata kidogo....Watu wanakaa hata mwaka ila matarajio kwamba wanatukuwa re-united yanawapa nguvu sana!!

Ila extended LDRs ni disaster!!

Babu DC!!
 
It DOESN'T HAVE TO BE.

Theoretically it doesnt' but practically it does!!

Okay Babu hayo mazingira ni such as what? What makes it so difficult on your side?

Mfano, umepata bonge la consultancy au shule na unatakiwa kuwa mbali. Na pia kutokana na kazi ya spouse wako, hamuwezi kuonana mara kwa mara kwa sababu hamuwezi kusafiri mara sana ndani ya kipindi cha mwaka moja hivi..ila mnaweza kuonana labda mara moja au 2!!
 
Kama unajua kuwa baada ya miezi hiyo 5 mnarudi kwenye maisha ya kawaida basi siyo mingi hata kidogo....Watu wanakaa hata mwaka ila matarajio kwamba wanatukuwa re-united yanawapa nguvu sana!!

Ila extended LDRs ni disaster!!

Babu DC!!

Sorry I meant miaka 5. . . ..
 
Theoretically it doesnt' but practically it does!!

Mfano, umepata bonge la consultancy au shule na unatakiwa kuwa mbali. Na pia kutokana na kazi ya spouse wako, hamuwezi kuonana mara kwa mara kwa sababu hamuwezi kusafiri mara sana ndani ya kipindi cha mwaka moja hivi..ila mnaweza kuonana labda mara moja au 2!!
No it does not.
It might be but its not a must.Kila mtu kwa kiasi chake.
 
Back
Top Bottom