..but angali, ujana maji ya moto little while yanapoa! kwa nini usiolewe? wanayosema ndugu zako ni sahihi baada ya muda utapoteza uwezo wa kuzaa! ukifikia hapo ndo utatafuta mtoto wa ku-adopt au ni aje? au una tatizo linalokusonga? liseme...
Nyani NgabuBossman, that's not a guarantee, my friend.
Kuna wazazi wako hivyo hadi unashangaa kwa nini walizaa. They just don't give a damn. Wao ni kujirusha tu. Mtoto hajaliwi hata kidogo.
Nyani Ngabu
God forbid. Not to toot my own horn but, it has been said that of all the stars "cancerians" are the best mothers.......................so if not through my own persona at least from my star, lol
Dark CitySasa huyo mtoto atamtoa kwa mtu gani kama hayuko tayari kugawa hata share yake moja ili awe na mtu wa kumsaidia kupata mtoto....
I think being selfish and uncompromising...if she really means it, are the highest levels when it comes to sharing your life with others!!
Babu DC!!
Dark City
Ahh babu sasa mbona unanichana?Kwa kujitetea I think nyie hamjanielewa. I have nothing against marriage au mume. However what majority of the men expect from a wife and what I am willing to put out dont quite jive! Kwa sababu hiyo instead of wasting mylife hoping for a miracle, nimeamua kukubali matokeo. THat said...............just b'coz marriage maynot be in my books doesnt mean na mtoto pia. Babu just because I can't compromise on male/female ralationshs doesnt mean the same applies to mother/daughter or mother/son relation, au what am I missing jamani? Pls educate me
The BossMost people wanao ji 'brand kuwa wako wabaya namna fulani'
wengi wao deep down hawako hivyo...
ni 'defensive mechanism' tu....
First karibu Nemo..
we missed u big time..
Pili hizo familly pressure zipo sana na zinaweza zikaku ingia na wewe ukaanza kujiona not normal..
so kuwa careful sana...
mwisho simamia maamuzi yako...
i wish ungeandika kiswahili kitupu upate michango mingi
Nyani Ngabu
Dark CityPole sana Nemo kama nimeonekana kuwa harsh kidogo....Haikuwa nia yangu!!
Nilijaribu kutoa maelzo kutoka na weakness zako ambazo umezieleza na kwa nia ya kukuchana bali kujaribu kuonesha ugumu katika kuwa na lifemate na mtoto pia...
Kama kweli hizo weakness unajijua unazo, mie nadhani hata kwa mtoto wako mwenyewe zitakuandama.
Halafu, mtoto sasa utampataje kama hutaki kuwa na mume?
Babu DC!!
Dark City
Well ......................when time is right, the plan is to victimize some poor guy by poking a hole on the rubber . Disapper then possibly show up nine months later, at his door with my bundle of joy, and yell............"Suprise you are dad!"
PS: Im joking. I dont have anyone in mind yet. Ila I do have a good friend that we discussed and agreed if by certain age we are both unattached. We will have a kid.
you wanna volunteer sperms? lol
Hahahaaa no way Jose. Mine are on lockdown.
??????!!!!