Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 920
- 1,454
Oktoba 29 Nitakuwepo.
Nategemea kukutana na kaka na dada zangu from another mother!
Mimi naona itakuwa get together tu ya wajukuu wa Clemence Mwandambo.
Divided by DNA, United by Dismay.
Nitaamka zangu saa 12, nioge nile zangu kiporo cha wali maharage, nichukue back pack yangu nitoke nikakutane na familia.
Nitakuwa nimebeba ka bluetooth speaker kangu na filimbi tu for the vibe.
Jamani mimi Oktoba natoka for the the vibe.
"Tazama ilivyo vema na kupendeza ndugu kukaa pamoja kwa umoja."
Nategemea kupiga selfies na wanajeshi wengi iwezekanavyo. Nikiona tu mwanajeshi naenda kumshukuru kwa kuhudumia taifa halafu naomba selfie.
Sijui kwanini watu wanadhihaki watu kutoka Oktoba 29.
Si ninafungua geti natoka! Ama tuko boarding hatutoki makwetu bila gate pass?
Acheni wanafamilia wakutane, msiwazuie....
View: https://youtu.be/w9uBGWNiCQg?si=AwELN-AArVsrW49N