una uhakika unafanya kila unachotaka au unafanya vile wao wamekuwekea ufanye? Starehe, kuajiriwa, kuchukua mikopo, system za bima ya afya, ufuate sheria , 😀😀😀. Unazaliwa unafuata the same system ya makuzi amabayo hujui nani ndo ka idefine. Kwamba lazima uende shule. Ukifika shule lazima usome kile wao wanataka, na mengineyo halafu unasema unafanya kile unataka?????? Ungekuwa unafanya kile unataka basi ungesoma curriculum ambayo umedefine wewe. Ungeenda benki ungekopa kwa riba unayotaka wewe. Babylon System inaandaaa watu kuwa watwana wa hiyo system..Wachache wanaojua how that system works ndo wanakuwa the most powerful people in this world sababu wana deviate kutoka msingi ambao kila mtu anategemewa apitie. U sturbon wao ndo unawafanya nao wanakuwa part ya system. Jiulize kwanini Bill Gates, Mark Zuckerberg, Henry Ford, Tom Edison hakuna hata mmoja ambaye ni graduate..The knew they had to deviate from the system everybody follows nao wakafika stage ambao they close to the people who control the system. 😀😀😀😀