Chidu Mangalili
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 144
- 96
Kwa kawaida baba ukikuta watoto wanalalamikiana mezani kuwa umechukua firigisi yangu au hiyo nyama umejipendelea, basi ujue wewe ni baba unayejua kuhudumia familia.
Ingia mfukoni waambie wakajiongezee na vinywaji. "Baba lao" utashangaa wakukuambia ahsante mama na baba kwa chakula rumeahiba" huku wakikimbilia sitting room kuwahia remote ya TV kuwahia hanels wanazozioendelea kila mmoja.
Hiyo ni familia yenye furaha.
Soon chart ya watu kwenye furaha zaidi duniani Tanzania itatisha.
Sent using Jamii Forums mobile app