Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,284
Watoto hawskombolewi mkuuWashirikishe wazee upande wako pia,
Pia neno "mahari" sio sahihi kutumika, sababu huto olewa na huyo baba watoto.
Pande zote mbili za wazazi wako(mama watoto) na wazazi wake mwanaume(baba watoto), wakubaliane na watafute msamiati sahihi usio na ukakasi hasa atakapo julishwa huyu mume wako mpya,
Walio tangualia kuchangia wamependekeza neno kama | "Gharama za kukomboa watoto" ili watambulike rasmi ukoo wa mwanaume , au "Fidia kwa familia yako", ili kuziunganisha hizi familia mbili, kwa sababu ya kuzaa watoto ambao wao tayari wamewatambua pasipo wewe kuolewa baba husika wa watoto ambaye tayari ana familia nyingine.
Familia zote mbili zikifikia muafaka, mapema kabisa mueleze mume wako mpya bila kufichwa Jambo lolote,
Kitu muhimu kwa sasa weka "haki na maslahi ya watoto kwa siku za usoni", wote hatujui nani atatangulia kufariki kati ya wewe na huyo baba wa watoto, Na je hatima ya watoto ni ipi?
Inakua kama fidia ili watoto wakubalike katika familiaAkitolewa mahari, si anakuwa mke wake kimila...
Umemsoma hadi mwisho au umeona hapo tuu mkuu?Watoto hawskombolewi mkuu
Yes, na huwa haiitwii mahari, bali ni kukomboa watoto kwa mujibu wa mila, tamaduni na desturi nyingi.Hiyo kukutolea Mahari kisheria ni kuwahalalisha ( Legitimize) hao watoto watambulike katika familia yao.
Kama hao wazazi wana mtazamo kama wangu, ikiwa wanataka kutoa mahari ili uolewe na jamaa hiyo ni issue nyingine.
So rudi waulize wanakutolea mahari kwa minajili gani?
Waache watoto waendelee kulelewa na Bibi yao..Wabibi ni Walezi wazuri sana..utakapowachukua means watalelewa na Dada utakapokua kazini of which they will be in highly risk of facing abuse unless otherwise you’re a PROUDLY HOUSEWIFE
HAKUNA MWANAUME ANAEPENDA KULEA WATOTO WA MWANAUME MWENZIE HUSUSANI AKIJUA KABISA MWANAUME MWENZIE YUKO HAI ..YAAN MWANAUME HUYO HAYUPO
🤣🤣Sinitakuwa naongeza confusion 🤔nataka niweke situation sawa,kabla ya kupata watoto wengine na huyu jamaa nilonaye,manake naye anahitaj watoto 🙏Ongeza mtoto mwingine huku tukiendelea kutafakari.
Sasa nawaleaje watoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine?yani hapa naonana nao Mara tatu kwa mwaka tu,mie naona haijakaa sawa.Over my dead body siwez kuruhusu mwanangu kuish kwa mwanaume mwingne nikiwa hai,tatizo wanawake wabnafsi sana(baadh),sasa kama watt wanaish kwa bib yao na una access nao shda iko wap?plus unawachukua wakalelewe na house maid na baba wa kambo?hao watoto nina uhakika watateseka mno waache waish kwa bib yao na wew na mzaz mwenzio muwalee pale pale.ova
Kati yako na yeye,nani alimuacha mwenzake?Nikipata jibu la hapo,nitatoa ushauri wanguHabari za eid pili waungwana,
Iko hivi, nimejaliwa kuzaa watoto wawili wa kiume na bwana mmoja. Kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo, hatukuoana na huyo bwana. Watoto wote nilikuwa naishi nao kwangu, huku tukisaidizana malezi. Yeye alishaoa kama miaka mitatu nyuma.
Kama miaka miwili nyuma nilipata changamoto kazini na mambo mengi yalitokea upande wangu hivyo sikuwa stable kuendelea kuishi na watoto. Tulipojadiliana pande zote, wazazi wake wakasema niwakabidhi watoto wawalee hadi hapo nitakapo kuwa sawa.
Basi watoto nikawapeleka kwao, nikawa na still huwa naenda kuwatembelea pindi nipatapo nafasi pamoja na kuchangia gharama za ada na mahitaji mengine ya watoto.
Muda umeenda, nimerudi kwenye fomu, na nimeona nahitaji kuwachukua watoto niwalee sasa, yaani niishi nao huku nilikohamia kikazi. Wazazi wake bwana yule wamekuja na wazo kuwa, familia yao imeamua jamaa anitolee mahari kwa mujibu wa mila zao, so wamenambia niifahamishe wazee wangu ili taratibu zifanyike.
Binafsi sijaafiki suala hilo, kwani jamaa alishaoa na kashazaa watoto wengine wawili kwa mkewe. Hata mila za kwetu haziafiki jambo hilo, isitoshe mimi niko na mtu wangu ambaye tuna plan zetu za hapo baadae kidogo, naona kama ni mbinu ya kunizuia kuchukua wanangu.
Hebu mnipe ushauri wadau, namna gani naweza kuwachukua watoto bila kuleta mikwaruzano?
my sister,bora nusu shari kuliko shari kamili!as long as watoto wanakutambua,na wako kwa bib yao mahal ambapo hata usku unaenda,waache pale pale kama ambavyo uliwaacha kipnd una changamoto na hukupata malalamiko!!walipo ndo salama zaid kulko kwako na kwa baba yaoSasa nawaleaje watoto wako mkoa mwingine na mimi mkoa mwingine?yani hapa naonana nao Mara tatu kwa mwaka tu,mie naona haijakaa sawa.
Wateseke kivip ilhal nilikuwa naishi nao vizuri tu 🙏 ni changamoto flan ilinipata so sikuwa na uwezo wa kuwalea ndo tukakubaliana niwapeleke kwao hadi nitakapo kaa sawa,ofwhich Niko sawa sasa,so nawahitaj.Over my dead body siwez kuruhusu mwanangu kuish kwa mwanaume mwingne nikiwa hai,tatizo wanawake wabnafsi sana(baadh),sasa kama watt wanaish kwa bib yao na una access nao shda iko wap?plus unawachukua wakalelewe na house maid na baba wa kambo?hao watoto nina uhakika watateseka mno waache waish kwa bib yao na wew na mzaz mwenzio muwalee pale pale.ova
Huyo bwana mwingine anataka watoto kabla hata hajakuoa? Hujajifunza tu? Kuwa makini usije ukawa shamba darasa🤣🤣Sinitakuwa naongeza confusion 🤔nataka niweke situation sawa,kabla ya kupata watoto wengine na huyu jamaa nilonaye,manake naye anahitaj watoto 🙏
Mimi niliamua kukaa pembeni baada ya kumfumania na kugundua hatuna malengo /ndoto sawa za maisha.Kati yako na yeye,nani alimuacha mwenzake?Nikipata jibu la hapo,nitatoa ushauri wangu
Hapana sio sasa,tukishafanya official 🙏H
Huyo bwana mwingine anataka watoto kabla hata hajakuoa? Hujajifunza tu? Kuwa makini usije ukawa shamba darasa
Ila watu wa zamani walikuwa wabunifu sana kwenye hii inshu ya maisha,unaweza kuta mama anaishi na watoto wake pamoja na wajukuu kwa kuuza ndizi tu na hadangi na hadi anajenga
Lakin vijana wa siku hz wanapenda sana kurudisha mpira kwa kipa
Ndiyo concern yangu kubwa,kuishi na kulea wanangu on daily basis,hivi vya kutuma hela na kuwatembelea once in a while sijaviafiki🙏kwanza hii situation imenifanya nione kama ndio naanza maisha ya kujitegemea,of which is notYes, na huwa haiitwii mahari, bali ni kukomboa watoto kwa mujibu wa mila, tamaduni na desturi nyingi.
Mi nakushauri watoto ukae nao wewe angalau waambulie malezi ya mama, maana ninavyosoma btn lines hawaendi kuishi kwa baba.