Familia Ya Nyerere Wajiunga Na Chadema?

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Kuna tetesi nimezipata kutokea kule Butiama nyumbani kwa muasisi wa taifa hili la bongo marehemu baba wa taifa Mwalimu Nyerere kua ile siku viongozi waandamizi wa chama cha demokrasi na maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na katibu wa chama hicho siku walikwenda kumtembelea mama Nyerere na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba wa taifa, kua familia ya hiyo wamejiunga na chama cha chadema kwa siri lakini wataweka wazi baadae kua wameachana na chama cha CCM! Jamani hii ni kweli?
Mbowe-shada-butiama.jpg
 
Familia hii kimatendo na kimawazo ipo chadema hata kama haijachukua kadi na kujitangaza rasmi.
 
Habari hii ni ya kuyafikirika. Ingekuwa vizuri ungemuuliza alitekupa hii habari kabla ya kuweka hapa bandiko lako
 
Kuna tetesi nimezipata kutokea kule Butiama nyumbani kwa muasisi wa taifa hili la bongo marehemu baba wa taifa Mwalimu Nyerere kua ile siku viongozi waandamizi wa chama cha demokrasi na maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na katibu wa chama hicho siku walikwenda kumtembelea mama Nyerere na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba wa taifa, kua familia ya hiyo wamejiunga na chama cha chadema kwa siri lakini wataweka wazi baadae kua wameachana na chama cha CCM! Jamani hii ni kweli?
Mbowe-shada-butiama.jpg

Unataka ijiunge mara ngapi? wakati tayari kuna wabunge wawili wa CDM toka mwitongo family.Kinachofanyika kwa sasa ni kukazia mahusiano na mawasiliano tu
 
Kuna tetesi nimezipata kutokea kule Butiama nyumbani kwa muasisi wa taifa hili la bongo marehemu baba wa taifa Mwalimu Nyerere kua ile siku viongozi waandamizi wa chama cha demokrasi na maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na katibu wa chama hicho siku walikwenda kumtembelea mama Nyerere na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba wa taifa, kua familia ya hiyo wamejiunga na chama cha chadema kwa siri lakini wataweka wazi baadae kua wameachana na chama cha CCM! Jamani hii ni kweli?
Mbowe-shada-butiama.jpg

Jini halinyi Moto!!!!
 
watu wa CCM wengi wanaipenda CDM basi wanaogopa nguvu ya mafisadi... kimoyomoyo wanawaombea mafanikio CDM.
Ukishakuwa against ufisadi=CCM
 
siwezi kushangaa, maana hata mwalimu kabla hajafaa, kimawazo alishahamia CHADEMA nakumbuka aliwahi kuifagilia katiba ya CHADEMA.
 
Hivi unafikiri kura zaidi ya million 6 alizopata Dr. Slaa zilitoka kwa wana CDM peke yake?Watu wote wenye mapenzi mema na nchi hii na wasiopenda kufisadiwa waliichagua CDM ndiyo maana mkwere na genge lake wakaiba kura kuficha aibu yao.
 
mama maria namheshim sana ila hiyo gauni ya aliyovaa mmh!!najua anazuga ila asipofanya hivyo mafisadi wanaweza kukata mafao ya mwalimu yasimfikie,.na inaelekea mafisadi walimpa maelekezo ya kuivaa siku hiyo..
 
familia ya mwalimu haiwezi kupingana na mawazo ya mwalimu,baba wa taifa alikuwa kiroho na kiakili chadema hata kimwili sema kimdomo tuu ndio alikuwa anazungumza kama muasisi wa CCM ila macho yake,mikono na kila kitu including akili yake alikuwa mwana CDM
 
Sasa wakijiunga kama familia watapewa kadi moja ya familia? Nadhani kila mtu ana uhuru wa kuchagua chama ndo mana kuna wabunge toka familia hiyio wako upinzani na wengine CCM. Hivyo huwezi kusema familia ile sasa hivi ni CCM au Chadema...which means pia haiwezi kuhama kama familia!
 
CCM wameweka bayana kupitia mwenyekiti wao kuwa hawamtambui BABA WA TAIFA ila wanamtambua marehemu MZEE NYERERE. Unategemea familia iendelee kujikombo isikoheshimiwa????????? CDM tunaenzi waasisi
 
Baba wa Taifa alisema kuwa CCM si baba yake wala mama yake, kwamba si lazima awe CCM milele, ikibidi angeweza kutoka huko CCM.

Sasa imeoza, kwanini watu wang'ang'anie huko kwa chama cha Rostam, Lowassa, Kikwete,Chenge na Makamba?

Huko ndani ya CCM, watu makini wanapingwa vita na kudhoofishwa na mafisadi wakiungwa mkono na mwenyekiti wao Kikwete. Nani aliye makini atapenda uongozi wao wa sasa?

Ila kama demokrasia ilivyo, kila mtu ana uhuru wa kuwa mwanachama wa chama cha siasa anachopenda, au kutokuwa mwanachama wa chama chochote. Makongoro yupo CCM, Vincent na Leticia wapo Chadema. Ni maamuzi binafsi.
 
Kuna tetesi nimezipata kutokea kule Butiama nyumbani kwa muasisi wa taifa hili la bongo marehemu baba wa taifa Mwalimu Nyerere kua ile siku viongozi waandamizi wa chama cha demokrasi na maendeleo (CHADEMA) wakiongozwa na katibu wa chama hicho siku walikwenda kumtembelea mama Nyerere na kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la baba wa taifa, kua familia ya hiyo wamejiunga na chama cha chadema kwa siri lakini wataweka wazi baadae kua wameachana na chama cha CCM! Jamani hii ni kweli?
Mbowe-shada-butiama.jpg
nadhani hii ni tetesi tu mkuu maana kama hauna colour blindness utaona MAMA MARIA kavaa sare ya CCM.
 
Gauni la mama Maria linanikumbusha ule usemi wa matendo hukidhi haja kuliko maneno. Hata hivyo kila mwananchi ana utashi wake wa kisiasa, hili haliwabagui wa familia ya Nyerere aka JK original.
 
Nakumbuka hata Makongoro aliwahi kuwa NCCR tena kipindi kile Mwalimu alikuwa hai.
 
Swala hapa siyo Mama Maria alivaa nini. Watu wanaenda mbali zaidi ya mavazi, wanaangalia mahusiano na timu ya CDM, ujue siku hiyo hawakuishia kuweka mashada peke yake, kuna mazungumzo yalifanyika hata kama ni ya dk 10, lakini mwenye akili inatosha kumsoma mtu na kujua kama ana msimamo gani.

Nadhani waliokuwa kwenye hiyo ziara wanajua vizuri. Sasa kwa akili yako ulitegemea yule mama avae combati za CDM??!!
 
hilo nalo ni neno la leo.
CCM wameweka bayana kupitia mwenyekiti wao kuwa hawamtambui BABA WA TAIFA ila wanamtambua marehemu MZEE NYERERE. Unategemea familia iendelee kujikombo isikoheshimiwa????????? CDM tunaenzi waasisi
 
Back
Top Bottom