Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Wanawake bhana!! Mume kafariki juzi tu keshapata HAWARA hadi anajua nyumbani kwake na hela zilipo!!!! Huyo hawara anayepajua home mume kafa juzi tu lazima alikuwepo kabla. Mjane anaishi mwenyeweee na wanawe tu very selfish utakuta hapo wakwe, mawifi na mashemeji aliwakatia laini wasiguse urithi alioachiwa akaamini mlinzi na kibenten.. Matokeo yake watoto malaika wanauwawa very sad!!!
Kamanda Inavyoonekana hawara alikuwa anasimamia ukucha tangu mwenye mali yupo!!
Kifo cha Joe hakina utata kweli?
Isije ikawa huyo hawara ndio mastermind wa kumuondosha mwenye mke ili ajimilikishe then atekeleze azma yake aliyoiandaa kipindi kirefu
 
Kuna mtu mmoja ambaye anamfahamu huyo Shadrack anadai kwamba hizi tuhuma za kuuwa si mara ya kwanza kwake,alishatuhumiwa kuuwa huko kijijini kwao alikokuwa akiitwa Shalaki na kukimbilia Dar na kujiita Shadrack,inasemekana alimchinja mjomba yake kwa tuhuma za kishirikina.
Jamani matajiri msichukue watu ambao hata hamjui historia yao ya nyuma,chondechonde.
Kesi zote mbili zitaunganishwa na upelelezi zaidi wa mahusiano wa Mke nao utaendelea.
Isije kuwa hiyo tukio la Iringa linawekwa hapa kuhalalisha tukio la masaki kuwa ni sawa au ni yeye tu.
 
Hii case inafanana na ya Said ntimizi alipooondoa uhai wa yule mama mwenye shule na kumzika ndani ya ceptic tank.

Nahisi kama saidi yuko out of prison ila kalay low. Kama yule aliyemuua marehemu ayoub naye katoka jela conrad. Wauaji bongo wengine huwa wana toka ( mapungufu makubwa haya kwa wahusika).

Issue ya huyu dada nadhani kuna mambo ya kishirikina pia toka kwa ndugu wa mume wanaotaka kurithi mali ya mumewe. Kuna nguvu za giza hapa zimekuwa triggered. Houseboy amekuwa kama agent of action in the spirit realm.
Ayoub yupi, link
 
Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Alikudanganya huyo kuna boyfriend anamtunza
 
Dada wawatu unamharakisha na utamu wake bado tunauhitaji....fuckin huyu jamaa...

Angemfanya matusi vizuri mbona angecheua mpunga kilaini kabisa....lakini kwanini mtoto wakiume upewe hela kifalafala...
Si ndio kapindua meza kwa kumtumia majambazi. Ni dhambi na kosa ila ametumia uanaume
 
Hakuna sehemu nimeongelea masaa tusichanganye mada kwanza mapenzi ni sanaa kama ulivyo sema
Pili wazee wapo wenye uwezo huo ni wachache wanaume wengi tu wakifika kwenye 50’s performance inapungua si kama hao vijana wao wenyewe wanajua
Hata uume unasimama ila sio mubashara kama wa kijana wa kwao unaanza kuwa legevu taratibu
In 40’s mwanamke akipata kijana lazima apate usipingane na nature hata huko mitaani tunaona hio ndio statistics
Jiongelee wewe na wachache ambao hampendi pengine ni stress za kutafuta hela
At your age you are very ambitious kama kwenye late twenties hukujipanga vizuri huku kwenye thirties nyege lazima zikate uwaze mbesa tu.
Ila ukute maisha umeyapatia umeridhika mambo yanaenda after money kingine nini cha kuenjoy kama sio sex
Hii mada ni very subjective though nakuelewa ila elewa na wengine pia
Uko sahihi kabisa, lakini kumbuka vijana bado wana mataminio mengi ya sex, kwa hiyo mmama anapokuwa kwenye relationship na kijana akubali tu kuwa ataumizwa sana au atumiwe kwa ajili ya pesa tu na mwisho wa siku yamtokee kama ya huyo mama wa masaki
 
Whoever did it atakua mtu au watu ambao watanufaika na kutokuwepo kwa mama na wanae wa pekee..boyfriend hawezi kunufaika na chochote...mlinzi kama kweli alikua anafokewa na manyanyaso angewaibia siku moja na kutokomea ili kuwakomesha..
Ni kweli haingii akilini, kwa nini aue mama na watoto?!! naviamini vyombo vyetu vya usalama, ukweli utajulikana soon.
 
Huyu mama kifo chake kimenihuzunisha. Alikuwa anapenda kwenda kula kempiski na watoto wake
Sana aisee

Kuna vitu unajiuliza unatamani kama ingetokea
Ili umpe mama huyo namna ya kuishi akae na familia yake,unaona kama ingemsaidia

Lkn ndiyo hivyo ishatokea

Ova
 
Back
Top Bottom