Familia ya Makamba imefanya nini hadi kupoteza ushawishi katika siasa za CCM, walianza kumweka kando Mzee Makamba, round hii ni January

Familia ya Makamba imefanya nini hadi kupoteza ushawishi katika siasa za CCM, walianza kumweka kando Mzee Makamba, round hii ni January

Wotatenaneee!!!
20250729_143625.jpg

Sisi wasambaa hatumtaki Makamba ,aende huko kwao alipooa ,anatudharau sana ..Asante CCM hatuwezi kuwa mwakilishi msaliti namna ile ..
 
February ndoto zake ni Urais
Kizimkazi na Remote control ya Msoga wanamweka mbali Kisiasa ili Kizimkazi akitoka Riz1 akamate nchi kama Rais.
Hiyo ni code nimewapa
Siku watakayotaka kuweka Riziwani awe rais ndiyo siku hiyo CCM itagawanyika. Itakuwa kama Uhuru Kenyatta mara ya kwanza alipotaka kuwekwa na Moi.
 
Ni bahati mbaya tu.

Halafu janja kuutamani Urais waziwazi ni utomvu wa nidhamu.

Watu wakaona si bure, hatuwezi kudili na matawi tu,lazima tuangushe na shina Kwanza.

Lakini pia Baba mtu kitendo cha kujigamba hadharani kwamba sasa watanzania wanalamba asali, mara sijui wazuri hawafi.
ilikuwa ni Jambo baya,ni wazi alionekana si mtunza Siri ,mtu mpayukaji, mropokaji,mjivuni ,asiyejua Kula na kipofu.
Akawekwa pending.
 
Achore kile kikatuni alichomchorea JPM wakati ule kaachwa uwaziri. Alichora mtu anaota moto akiwa shimoni na ngazi ya kuapandia juu, ile ngazi zile partion za kukanyaga na kupanda ndio muotaji moto anazitumia kukokea moto.

JPM alikuwa mpole sana
 
Siku watakayotaka kuweka Riziwani awe rais ndiyo siku hiyo CCM itagawanyika. Itakuwa kama Uhuru Kenyatta mara ya kwanza alipotaka kuwekwa na Moi.
Mkuu, njia ishatengenezwa sidhani kama kuna wa kuzuia hiyo.
 
Achore kile kikatuni alichomchorea JPM wakati ule kaachwa uwaziri. Alichora mtu anaota moto akiwa shimoni na ngazi ya kuapandia juu, ile ngazi zile partion za kukanyaga na kupanda ndio muotaji moto anazitumia kukokea moto.

JPM alikuwa mpole sana
Wote ni mafisi. Hakuna mwenye nafuu.
 
Back
Top Bottom