hagau
JF-Expert Member
- Dec 17, 2023
- 1,586
- 5,223
Mafisi ndio nini? Mimi naongelea kikatuniWote ni mafisi. Hakuna mwenye nafuu.
Mafisi ndio nini? Mimi naongelea kikatuniWote ni mafisi. Hakuna mwenye nafuu.
Madili ya tanescoYaani top three kuwania Urais Leo wanamkata kisa mama🙇
Hapo ndipo utakapojua UNAFIKI WA "WASWAHILI"!Wanaimiliki ACT wazalendo
Wazuri hawafi
Kuna mamilioni ya watanzania wenye sifa za uongozi
- Ni tishio ?
- Wamepitwa na wakati ?
- Wamegombana na Ccm ?
- Mgongano wa masalahi ?
- au ?
Ni wanahisa wa App
- Ni tishio ?
- Wamepitwa na wakati ?
- Wamegombana na Ccm ?
- Mgongano wa masalahi ?
- au ?
Makamba alifanya ufisadi Tanesco , walianza kumtumbua uwaziri, sasa wamemtosa na ubunge
Hizo ndoto za mchana mkuu sasa hv atakae kuwa rais ni jasusi la mbinguniNakuhakikishia Rais awamu ya 7 atakuwa Riz1, hiyo ni taka usitake, Riz1 ndo Rais
Mzee wa Msoga Huwa hafanyi kazi ya hasara laZima kijana wake ashike nchi
Aaaah wapi 😤 😤 huyu muhuni huko chuga atamuacha kweliNakuhakikishia Rais awamu ya 7 atakuwa Riz1, hiyo ni taka usitake, Riz1 ndo Rais
Mzee wa Msoga Huwa hafanyi kazi ya hasara laZima kijana wake ashike nchi
January mwizi wa kura za mitandaoni...hawaoni watafeli Bwana mdogo akikasilika😄Madili ya tanesco
Viashiria vya uhaini kutaka kumtoa kitini boss wake(hii tangu kwa magufuli( na ni juzjuz tu SAMIA katoa msamaha ila hukuambiwa amemsamehe kwa kosa Gani
Katika hatua CDM harakati uchwara mtajutia hadi kaburini ni hiyo NRNE kwa huu mwaka!! Mmempa chura kiburi kilichopitiliza!Siku watakayotaka kuweka Riziwani awe rais ndiyo siku hiyo CCM itagawanyika. Itakuwa kama Uhuru Kenyatta mara ya kwanza alipotaka kuwekwa na Moi.
Sio mazingira ila Riz one ni mtu anaye jielewa sanaKikwete anatengeneza mazingira mepesi kwa mwanae,mwendo ni kuua,kufunga na kutoa yoyote aliyekizingiti cha mtoto kufika pale juu
Mbona nimesikia jina Makamba huko Kanda ya kati!?Wamepitwa na wakati ?