Familia ya MAFISANGO yatupiwa virago

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Familia ya aliyekuwa mchezaji wa simba MAFISANGO jana ilikumbana na kadhia ya kufukuzwa kwenye nyumba wanayoishi na vitu vyao vyote kutolewa nje baada ya kushindwa kulipia pango,jukumu la kulipia nyumba lilikua ni la SIMBA,na wao ndio walikua na wajibu wa kusafirisha vyombo vyake,taarifa zinasema deni lilifikia shilingi laki 7,
SOSI:GAZETI LA DIMBA
NAJIULIZA TU,SIMBA WANASHINDWAJE KUMALIZA TATIZO DOGO KAMA HILI????
 
ule utamaduni wetu wa UTU kwanza na pesa si kitu umondoka kabisa. hao vingozi wana laana kwa kweli. Japo ni mpenzi wa Simba. Hao viongozi wetu hawajali Utu.
 
Poor them.
Simba wamekuwa chama cha siasa.
maneno mengi,vitendo zero.
i despise you
 
Ila iwe fundisho maana wachezaji wetu limbukeni wakipata hela ni kuongeza idadi ya wanawake na kula pombe kwa bata na mrija. Iwe pia fundisha kwa Mbwana Samatta huko aliko hizo dola 5,000 azifanyie kazi na si kubadilisha vidosho. Unakuta mchezaji kama marehemu Mafisango alikuwa analipwa pesa ya kutosha, kapanga na wanawake wawili kaweka ndani bado vimada!!! Make life after you!!! Leave a legacy to your relatives and family, at most!!! To be frank, sijawahi kufurahia maisha ya anasa ya wachezaji wetu wanapata hela hawajengi, wachache tu wamejenga!! Mwishowe are dying very early (i.e their life expectancy shorten by HIV). Sorry to say this but ni bora tuseme wasikie na wavunje mitandao!!! I love this advert with the MOHSW na TACAIDS!!! Tuko wangapi? Tulizana!!!
 
Brilliant advice!!
 
Mbona hili kwa Tanzania ni kawaida. Kama walitelekeza familia ya Sokoine watashindwa ya huyu mtu mdogo. Hili ni somo kwa wachezaji kuwa wasijisahau wakawekeza kwenye kunywa na kutumbua starehe. Kesho kuna mauti.
 
Familia ya aliyekuwa mchezaji wa simba MAFISANGO jana ilikumbana na kadhia ya kufukuzwa kwenye nyumba wanayoishi na vitu vyao vyote kutolewa nje baada ya kushindwa kulipia pango,jukumu la kulipia nyumba lilikua ni la SIMBA,na wao ndio walikua na wajibu wa kusafirisha vyombo vyake,taarifa zinasema deni lilifikia shilingi laki 7,
SOSI:GAZETI LA DIMBA
NAJIULIZA TU,SIMBA WANASHINDWAJE KUMALIZA TATIZO DOGO KAMA HILI????

Aden Rage wajibika!
 
Back
Top Bottom