Familia ya aliyekuwa mchezaji wa simba MAFISANGO jana ilikumbana na kadhia ya kufukuzwa kwenye nyumba wanayoishi na vitu vyao vyote kutolewa nje baada ya kushindwa kulipia pango,jukumu la kulipia nyumba lilikua ni la SIMBA,na wao ndio walikua na wajibu wa kusafirisha vyombo vyake,taarifa zinasema deni lilifikia shilingi laki 7,
SOSI:GAZETI LA DIMBA
NAJIULIZA TU,SIMBA WANASHINDWAJE KUMALIZA TATIZO DOGO KAMA HILI????
SOSI:GAZETI LA DIMBA
NAJIULIZA TU,SIMBA WANASHINDWAJE KUMALIZA TATIZO DOGO KAMA HILI????