Deogratius n
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 1,193
- 253
Huyu sheria ya mtandao imemdaka
Unajua gharama ya kuwa na Rais Fisadi? Una uhakika hakuna watu nyuma yake? Mageuzi hayaendeshwi kwa chuki, chuki ndio zinatuogopesha!!! Chuki mbayaa sana.
Ikulu sio pango la walanguziHuyu jamaa inabidi awe kwenye kitabu cha Historia ya tanzania kuwa kiongozi aliyewahi kufilisi nchi, leo hii anasema anataka kuwaletea maendeleo, kweli inawezekana.Fisi ni fisi tu awezi geuka kuwa mbuzi.
Hivi Lowassa anawezaje kuwa msafi wakati ametoka CCM? Ghafla tu anageuka kuwa safi? Akili gani tena inatakiwa hapa zaidi ya ushabiki? Chenge, Lowassa na Rostam hatukuwaita mapacha watatu humu? au unataka nikufukulie archives za humu ndani ndio ujue kinachoongelewa?
Serikali ya CCM ni legelege kiasi ambacho mtu anaweza kuiba Pound 400 Million na asikamatwe au asishitakiwe wala kuchunguzwa??Huyu jamaa inabidi awe kwenye kitabu cha Historia ya tanzania kuwa kiongozi aliyewahi kufilisi nchi, leo hii anasema anataka kuwaletea maendeleo, kweli inawezekana.Fisi ni fisi tu awezi geuka kuwa mbuzi.
Tumia akili tu kwa jinsi ccm wanavyopelekwa mchakamchaka hivyo taharifa zingekuwa za kweli ccm imefanya kila lolote kumshita mapema sana kwani taharifa za kuhama walikuwa nazo mapema sana