Familia ya Lowassa yapelelezwa London kwa Utakatishaji fedha

Mamvi hawezi kusema chochote, ndo kawaida yake kutojibu kitu anaporushiwa tuhuma zake. Badala yake utamsikia Mbatia anataka kumjibia utadhani alishiriki kwenye huo mpango wa fedha.

Kukaa kimya kunaashiria ni kweli kafanya hivo na hana utetezi, lakini pia ni dharau kwa watu wanaomshabikia mwizi kama yeye.

Hakuna sababu ya kumuuliza tena, ni kumkalia kimya kisha tunamnyima kura zetu siku ya uchaguzi. Akishashinda Magufuli ataanzisha mahakama maalumu ya mafisadi akiwemo na yeye. Hapo ataulizwa na mahakama halafu tuone kama yeye ni bingwa wa kukaa kimya au la.
#HapaKaziTu

Arafa wewe ni Jiniazi ! Asante sana
 
Nyie mnamuona lowasa tu ndy fisadi kwann msimulize na yule top aliyeko Ktk jumba kuu
Acheni unafkiiii

Yeye hagombei hivi sasa. Tunataka tunakoenda tuwe na watu wasafi na ikiwezekana watakatifu. FISADI papa kama Lowassa, hatuwataki hata kama ana umaarufu na uwezo kuliko Sepp Blatter.
 
SOURCE: https://en.wikipedia.org/wiki/Edward_Lowassa/"lowassa sijui"

Wana jamii katika pita zangu nimekutana na hii kitu kutoka kwenye mtandando hapo chini, nikakutana na document iliyoandikwa na "INTELLIGENCE USE ONLY"ikanishawishi kuisoma zaidi, baada ya kusoma nimekutana na maneno yaliyoandikwa RE: FREDERICK EDWARD LOWASA" kwenda kwa Commissioner -Financial Inteligence Unit. barua hiyo ilendelea kuseomeka hivi " we are conducting a money laundering investigation in relation to FREDERICK EDWARD LOWASSA who is suspected of commiting offence under section 327-329 proceeds of crime Act 2002.

Intelligence indicat that on or about 24 March 2009, Frederick Edward Lowassa instructed Mishcon de Reya solitors (Mishcon) to act for him in purchase of a property situated at flat 5.10 Lesinster Garden, London. W26DR for Pound 475,000 sawa zaidi ya shilingi za Tanzania Bilion 1.4. LOWASSA is believed to be son of former Tanzania Prime Minister Edward LOWASSA.

and several days later that the same month, four remittance totaling pound 199,940 were received into Mishcon's client account trading company styled wall street Exchange. A further pound 100,000 was received into Mishcon's client account in CASH deposited on twelve separate occasions at branches of NatWest Bank plc in North London.

Mengine naambatanisha hii barua mudadavue wenyewe mi kizungu sikijui sikwenda shule.
 
Attachments

  • SCOTLAND YARD-LONDON.pdf
    957.1 KB · Views: 104

Fredrick Edward Lowassa
 
Ikianzishwa mahakama kumbukeni na sakata lile la rada ambalo hata waziri wauingereza aliingilia kuwa tunapigwa ila watu wakaziba maskio na mkenge tukaingizwa
 
hatushangai.hili gazeti limepoteza credibility yake kipindi hiki kuelekea uchaguzi. limeshajipambanua kwa ccm na halina tofauti na uhuru la ccm.
 
Back
Top Bottom