Familia ya Karume imetengwa?

Familia ya Karume imetengwa?

Nadhani ufalme uliwahi kuondoka katika tamaduni zetu; yaani bado upo kwenye damu - Yaani unaona ajabu kwanini watoto wa mtawala hawabebwi..., labda hawataki politics ?

Sikatai kwamba with everything being equal an apple does not fall far from a tree..., lakini nashangaa mtu kushangaa kwanini fulani / ukoo fulani hauendelei kuwa kwenye madaraka (as if wana hati miliki ya Utawala)
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
Tatizo lao ni ulevi
 
acha kupotosha, Karume aliuawa na wazanzibar wenzake kwa tabia yake ya uuaji
Nilifanikiwa kupata muda wa kuongea na baadhi ya wazee wa zamani walioshiriki ktk mapinduzi huko Zanzibar.
Katika kupewa historia ya kwanini Karume aliuwawa niliambiwa Karume alikuwa na tabia ya kuuwa.

Hivyo ni kisasi kilifanyika. Nilipata kuoneshwa baadhi ya familia zilizoathirika na udharimu wa Karume.
Ni mambo yanafanywa siri tu. Lakini siasa za Zanzibar zimejaa chuki na visasi. Huu muungano unawasaidia sana la sivyo hawa watu wangechinjana sana.
 
Karume aliua watu wengi sana wakiwemo kina Kassim Hanga, Nyerere alijuta kwanini alimrudisha ajabu Kuna vijitu bila aibu wanamsingizia Karume aliuawa sababu ya kukataa Muungano
 
Hivi unakumbuka lile sekeseke la A.Karume...naona wanammezea tu

Ova
Wacha kunitega, kuwa muwazi, kwa "A. Karume" unamuongelea yupi? kuna Amani Karume, Ali Karume, Abedi Karume, wote hao ni "A. Karume".

Nakumbuka Abedi Karume alilambwa risasi baada ya kukaa mwaka mzima haongei na Nyerere kabla ya tukio lile. Na chanzo cha kutokuongea nae ilikuwa ni hayahaya mambo ya muungano, Karume alimwambia nyerere muungano mwisho chumbe. Ikawa nongwa.

Au la juzi la Ali Karume kufukuzwa CCM? Au la Amani Karume kufanya maridhiano na wapinzani wa CCM?
 
Ila Amani aliisaidia sana CCM kwa hili la GNU.
Imeondoa opposition radical Zanzibar.

Ila hamna shukrani, mnanyanyasa ndugu zake, mbaya zaid hata bintiye mkamnyanganya leseni, anakula wapi.

Mind you, Karume ndio familia yenye wasomi kwenye vyuo vya maaana duniani ukilinganisha na wastaafu wote.
 
Who cares?
 
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.

Vip kwa Familia ya Karume?

1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.

2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.

3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"

4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..

Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?

Swali ni, Je wametengwa?
Vipi kuhusu watoto wa Mkapa , Mwinyi na Magufuli ?
 
Magufuli wameshaanza kuibuka... By the way sio Kila mtu anataka kuwa mwanasiasa! Labda familia ya Kikwete!
 
nimechagua hao tu
Wote hao uliowataja na aabao hukuchaguwa kuwataja, wanaishi maisha ya watoto wa Kifalme ma 'prince" labda wawe ni wagonjwa wa akili au watake kuwa na tamaa kwa ujinga wao.

Huwezi kuwalinganisha maisha yao na watoto wengine wowote wa Kitanzania.
 
Nawakubali sana hao jamaa wa hiyo familia, wamekataa kwa vitendo kuwa chawa, ni familia iliyojilindia heshima yao kwa hadhi ya juu kabisa, kwa kuamua kusimama na kile wanachokiamini hata kama kitawa cost kwa namna yoyote.

Kiufupi, wamekataa kuwa chawa ili walipwe vikubwa kabisa ambavyo hata hawa chawa wadogo, kina Lord denning hawatakaa wavipate milele licha ya kujivua nguo huku kila siku kumsifia mtawala msaliti.
Unajiskiaga raha kunitajataja
 
Back
Top Bottom