Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

Anaendelea vizuri? Kutokana na nini? Halafu mbona wafuasi wa ccm ndio ambao wanatetea usiri huu kama vile hawaioni hatari ya usalama Kutokana na uvumi huu? Kuna siku tutajilaumu kudharau
 
Uhuru wa kutoa mawazo yetu hatujapewa na huyo Kikwete wako, Tumepewa na katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mkuu umenena vyema sana,ndani ya ccm kuna wafuasi wa mwenyekiti sio chama,ccm imebinafsishwa:kingunge
 
Mbowe asipokuwepo chadema in-charge anakuwa nani? Nadhani jamii forums imeingiliwa kuna watu humu ndani nadhani umri wao pengine ni chini ya miaka 12. Maswali gani haya wanauliza?Upo wakati nilitaka kujitoa JF kwa upuuzoi kama huu wa hoja na maswali yasiyo na kichwa wala mguu. Hivi ni swali gani hili la kuuliza kuwa eti asipokuwepo CDF ni nani anakuwa in-charge. Hivi asipokuwepo rais wa nchi ni nani in-charge. Asipokuwepo mkuu wa taasisi ni nani in-charge. Ni maswali ya ajabu kabisa. Hawa UKAWA wanaleta utamaduni mpya katika nchi hii. Ni vema wadhibitiwe mapema. Hawajui hata taasisi zinaendeshwaje. Hawasomi vitabu wala journals. kazi yao ni kupinga each and everything. Wao kutoheshimu mamlaka ndiyo itikadi na sera. Rubbish. Hatuwezi kuwa na nchi ya aina hii, ya watu wasiofikiri. Kwao kufagia barabara ili apite LOWASSA ndiyo mtaji. Kujikusanya uwanjani kwa mamia na maelfu eti ndio mafuriko na ndio ushindi. Umati ule wa magufuli eti ni wa kupikwa na ule wa LOWASSA ndio uhalisia. Hatuwezi kuwa na taifa la watu wasiofikiri. Kuzomea barabarani msafara wa magufuli au samia eti ndio watanzania wameamua kukataa CCM. Yaani wahuni 300 wamekusanywa wajipange barabarani kumzomea magufuli eti kwao ndi watanzania hawaitaki CCM. Wamefunikwa na illussions na emotions. Niliwahi kumuuliza kijana mmoja aliyeahi kutumia madawa na sasa ameacha kutumia madawa hayo ya kulevya kwamba wakati anatumia madawa hayo alikuwa anajisikiaje. Jibu lake lilikuwa ni kuwa alikuwa anajiona kuwa yuko pamoja na Rais George Bush wa Marekani (wakati huo) wakipanga mipango ya namna ya kuongoza dunia. ILLUSIONS.Hao ndio UKAWA, wana ndoto a ajabu.
Mbona umepanic namna hiyo. reconcile na ubongo wako kwanza, achana na fikra za mazoea.
Usijifanye kushangaa shangaa.
DUNIA YA SASA KILA SWALI LAZIMA LIPATE JIBU SAHIHI.
TOA MAJIBU KAMA UNAYO KAMA HUNA ENDELEA KUWA MSOMAJI.
 
View attachment 298881


Familia ya Mkuu wa Majeshi General Davis Mwamunyange imetoa kauli mara baada ya sintofahamu inayoendelea Mitandaoni Kuhusu Mkuu huyo wa Majeshi, Familia ya CDF Mwamunyange:

Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa. Akizungumza kwa Niaba ya Familia Kaka Yake Davis Mwamunyange amethibitisha Mdogo wake anaendelea na Majukumu yake yupo Nje ya Nchi na anatarajiwa Kurudi Nchini siku za Karibuni.

Ni baada ya taarifa kuzagaa mitandaoni juu ya kulishwa sumu kwa mkuu huyo.

Familia imesema anaendelea vizuri na yupo nje ya nchi kwa majukumu ya kitaifa.

Siku za karibuni zipi, huelewi
 
na kwanini iwe wewe si familia ya mwamunyange inayolalama kama unavyoendelea kudai hiyo sintofahamu yako

huyu ni kiongoz wetu mpemdwa jenerali wa majesh na taarifa ni kwamba kalishwa sumu na yuko mahtuti sabab zenyewe zinahusishwa na uchaguz ndio mana ndio mana tunasema bring back our general
 
hutojua na utaendelea kutojua tu. Kwasababu yule sio mamaako wala babaako. Na nafasi yako ndan ya nchi hii ni sawa na chawa tu. Sasa chawa anaumuhimu gani wa kujua mstakabali wa taifa hili?

ww nafasi ni kama fisi ktk nchi hii unanuka mizoga
 
Hamuiamini serikali, sasa Familia yake imesema General yuko salama na bado yupo nje ya nchi kikazi.
Kaka yake Kapteni Aden Mwamunyange na Dada yake wamesema huo uzushi unawaumiza kama family .

Source: ITV
Hata Yale ya Mgimwa mke alikanusha, achilia mbali hii ya kaka na dada..
 
buuuuuuuuulaaaaaaaaaa nimeshahis harufu ya uteuzi ghafla walahi tena :mad2::bathbaby::mad2:
 
Nimeangalia habari, hakuna sehemu wala wakati neno chadema imetajwa na ndugu wa Mwamunyange. Acha ushabiki usio na tija. Mtu kusema 'wanasiasa' haimaanishi ni chadema unless uniambie vyama vingine nchini siyo vya siasa!

NIMEJIFUNZA kitu kupitia post hii na comment zake. nilijiuliza kwann wanausupport swala hili ni chadema na wanaopinga ni ccm. hili si jambo la kushabikia kuna siri nzito hapa, hii nchi si ya amani kama tunavyodhani. GENERALI AMEPEWA SUMU KWELI ILI CHADEMA WAKOSE MTETEZI KATIKA MATOKEO YA KUIBIWA KURA. ILA KWAKUA FAMILIA YAKE IMESEMA ANAENDELEA VIZURI, INAWEZEKANA BADO HAJAFA ILA NINAAPA HAMTOMUONA TANZANIA MPAKA UCHAGUZI UPITE. (TAFADHALI USINUKUU MANENO YANGU ISIJE YAKAKUKUTA YA DOKTA MWANGOSI. HII NDO TANZANIA NCHI YA WENYEWE)
 
Tungeamini kama wangesema kutoka nyumbani kwake yaani mke na watoto,pili wangesema kaenda nchi gani na anarudi lini..

Mwanajeshi akuambie yuko wapi? Anafanya nini wewe mwehu.Chukulia mfano yuko afghanistan anafuatilia magaidi wanaotishia tanzania unataka upate hiyo taarifa ili iweje.Who are you kenge mkubwa wewe
 
Sawa lakini kwakuwa si kawaida awe nje ya nchi wakati wa uchaguzi,tunatarjia kumuona nchini kabla ya uchaguzi

mimi sijawahi kumuona CDF katika uchaguzi wowote tangu uhurtu,,,huwa yuko wapi...?kitengo kipi,,,,,mara moja niliwahi kumuopna nshimbo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom