CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,315
- 41,918
Kumbe unajua kuwa bakuli halijazwi bure,kama hamuwezi kujitegemea lazima mnyooshwe kwani hiyo mikopo ina masharti mengi mojawapo ikiwa kuheshimu haki za binadamu na utawala bora.Kwani hilo bakuli wanajaza bure bure?