HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,926
- 6,671
Ndo mana wa Tz hatufiki tunako taka kwenda.... Wengi wetu ni wanafiki sana... Watu wanasifia kila kitu huku maisha ya uhalisia yakitutandika mitaani. Shauri letu banaSo sad..!
Ndo mana wa Tz hatufiki tunako taka kwenda.... Wengi wetu ni wanafiki sana... Watu wanasifia kila kitu huku maisha ya uhalisia yakitutandika mitaani. Shauri letu banaSo sad..!
Twende nao mdogo mdogo sio kosa laoBila shaka kuna watu wanafikiri kwa kutumia sehemu ya kukalia.
Kwa kweli hali ya uchumi ni tete, lakini watu wakilalamika wanaambiwa ''mlikuwa wapiga dili'',
Hivi ni kweli kila anayelalamika alikuwa mpiga dili?
Nadhani kichwa cha Sizonje kimeshafikia menopause, hakiwezi kuzalisha mawazo yenye rutuba kwa ustawi wa uchumi.Hata washauri wake nahisi hawasikilizwi ama nao ni timu moja.
Yaani jambo lipo wazi kabisa kwamba mambo ni tata lakini jitu litajitutumua kutetea upumbavu.Twende nao mdogo mdogo sio kosa lao
Ndiyo aina ya miccm iliyopoHapo CRDB ni uchumi wa Kilimanjaro tu ndiyo utaathirika na si vinginevyo. Maana hata wakipunguza wafanyajazi ni watu wa Kilimanjaro ndiyo watapunguzwa kwa wingi maana ndiyo wengi. Ni zaidi ya asilimia 80 ya wafanyakazi wa CRDB. Acha wapunguzwe.
Wengi wana macho wanatazama lakini hawaoniYaani jambo lipo wazi kabisa kwamba mambo ni tata lakini jitu litajitutumua kutetea upumbavu.
Kila asubuhi ni matangazo ya kufunga biashara kuashiria kufilisika lakini bado hawaoni.
Kwani nchi gani tuna shindana nayo?Wabongo mlizoea maisha ya mkato mkato sana na kupenda raha za kijinga sasa hivi mmebanwa ili mue na discipline basi ni kelele tu uchumi mbaya, ni lini uchumi wa bongo ulikua mzuri?? Na ulikua mzuri kushinda nchi gani?? Mnatakiwa muishi kwa discipline na kwa budget haswa mambo ya kunywa hovyo na matumizi yakijinga mwisho ni awamu hii. Namba lazima isomeke tu hamna namna.
Mkuu, amekuelewa sana sema anaogopa kulipa Ml 7Huu ni mtazamo kutokana na picha nilizoweka kama kiwakilishi kinachochagiza kile nilichoandika, nimeweka hizo na nyingine ila interest yako ikawa kwenye hizo
Benki siku hizi naenda kulipa ada za watoto tu basi.
tarehe kama hizi hiyo ndio hali halisi, japo najua ndugu zangu hawashindwi kusema ni photoshop [emoji144] [emoji144] [emoji144]![]()
hiyo kauli imeniongezea maskitiko.Halafu awe kapora mamlaka [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Bei za bia zimeshuka lakini bado bia hazinunuliki wala haziuziki.Huo mshahara kwani hata unauona?