Unajua ni kwanini siku zote unaandika habari za CHADEMA? ni kwasababu ndio threat kwa chama chako. vinginevyo usingekijali kama usivyo vijali vyama kama TLP,NCCR, UDP,MCCC nk.nijuavyo mimi hiki kinakunyima usingizi na raha kwa ujumla.Wanabodi,
Wananchi wanataka kujua ni nini hasa sera na itikadi inayosimamiwa na Chadema mlianza na falsafa ya oparesheni sangara katika kile mnachodai kupambana na mafisadi nchini, lakini falsafa hiyo imetupwa na kurukia falsafa nyingine ya vua gamba vaa gwanda, kabla ya falsafa hiyo nayo kuyeyeka njiani na sasa wananchi wanashangaa kuja na falsafa nyingine ya M4C.
Profesa mmoja kutoka Ujerumani amefichua falsafa ya M4C inatumiwa na Chadema baada ya wafadhili wa nje kukibana chama hicho kueleza namna kinavyotumia fedha kinazopewa, kwa mujibu wa Profesa huyo, falsafa ya oparesheni sangara na ile ya vua gamba vaa gwanda hazina tafsiri nzuri ya kisiasa inayoweza kueleweka mbele ya wafadhili, wanataka falsafa ya vuguvugu la mabadiliko M4C.
Chadema katika mikutano yao ya M4C wamekuwa watu wakulalamika tu kuhusu ufisadi, hali ngumu ya maisha na umasikini lakini hawasemi wao watafanyaje kuondoa umasikini huo, karibia majimbo yote yanayoshikiliwa na Chadema yanakabiliwa na changamoto nyingi zinazohusu kero za wapiga kura wao, badala ya wabunge hawa kwenda majimboni kukaa na wananchi wao kuona ni namna gani wanaweza kuzitatua kero kazi wao kazi kupuyanga na hovyo na hiyo M4C wanasahau wamebakiwa na miaka miwili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mwingine.
Miaka miwili kisiasa ni michache mno kama hujafanya kitu chochote cha maana hadi sasa, huwezi kukifanya tena ndani ya muda huo uliobaki.
Wanabodi,

M4C ni dili la Slaa na Lema, wamepata pa kula sasa.
ritz,huna jipya,thread mbovu umekopi na kupesti kutoka kwa prince bagenda ametoa makala kwenye gazeti la rai juma lilopita,acha ujing........mkuu,unajishushia heshima kidogo uliyonayo.wanabodi,
wananchi wanataka kujua ni nini hasa sera na itikadi inayosimamiwa na chadema mlianza na falsafa ya oparesheni sangara katika kile mnachodai kupambana na mafisadi nchini, lakini falsafa hiyo imetupwa na kurukia falsafa nyingine ya vua gamba vaa gwanda, kabla ya falsafa hiyo nayo kuyeyeka njiani na sasa wananchi wanashangaa kuja na falsafa nyingine ya m4c.
Profesa mmoja kutoka ujerumani amefichua falsafa ya m4c inatumiwa na chadema baada ya wafadhili wa nje kukibana chama hicho kueleza namna kinavyotumia fedha kinazopewa, kwa mujibu wa profesa huyo, falsafa ya oparesheni sangara na ile ya vua gamba vaa gwanda hazina tafsiri nzuri ya kisiasa inayoweza kueleweka mbele ya wafadhili, wanataka falsafa ya vuguvugu la mabadiliko m4c.
Chadema katika mikutano yao ya m4c wamekuwa watu wakulalamika tu kuhusu ufisadi, hali ngumu ya maisha na umasikini lakini hawasemi wao watafanyaje kuondoa umasikini huo, karibia majimbo yote yanayoshikiliwa na chadema yanakabiliwa na changamoto nyingi zinazohusu kero za wapiga kura wao, badala ya wabunge hawa kwenda majimboni kukaa na wananchi wao kuona ni namna gani wanaweza kuzitatua kero kazi wao kazi kupuyanga na hovyo na hiyo m4c wanasahau wamebakiwa na miaka miwili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mwingine.
Miaka miwili kisiasa ni michache mno kama hujafanya kitu chochote cha maana hadi sasa, huwezi kukifanya tena ndani ya muda huo uliobaki.
Mfa maji haachi kutapatapa. Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Falsafa Za chadema Hazina tijaWanabodi,
Wananchi wanataka kujua ni nini hasa sera na itikadi inayosimamiwa na Chadema mlianza na falsafa ya oparesheni sangara katika kile mnachodai kupambana na mafisadi nchini, lakini falsafa hiyo imetupwa na kurukia falsafa nyingine ya vua gamba vaa gwanda, kabla ya falsafa hiyo nayo kuyeyeka njiani na sasa wananchi wanashangaa kuja na falsafa nyingine ya M4C.
Profesa mmoja kutoka Ujerumani amefichua falsafa ya M4C inatumiwa na Chadema baada ya wafadhili wa nje kukibana chama hicho kueleza namna kinavyotumia fedha kinazopewa, kwa mujibu wa Profesa huyo, falsafa ya oparesheni sangara na ile ya vua gamba vaa gwanda hazina tafsiri nzuri ya kisiasa inayoweza kueleweka mbele ya wafadhili, wanataka falsafa ya vuguvugu la mabadiliko M4C.
Chadema katika mikutano yao ya M4C wamekuwa watu wakulalamika tu kuhusu ufisadi, hali ngumu ya maisha na umasikini lakini hawasemi wao watafanyaje kuondoa umasikini huo, karibia majimbo yote yanayoshikiliwa na Chadema yanakabiliwa na changamoto nyingi zinazohusu kero za wapiga kura wao, badala ya wabunge hawa kwenda majimboni kukaa na wananchi wao kuona ni namna gani wanaweza kuzitatua kero kazi wao kazi kupuyanga na hovyo na hiyo M4C wanasahau wamebakiwa na miaka miwili kabla ya kuingia kwenye uchaguzi mwingine.
Miaka miwili kisiasa ni michache mno kama hujafanya kitu chochote cha maana hadi sasa, huwezi kukifanya tena ndani ya muda huo uliobaki.
Kwenye Red hapo....KWA HIYO KILICHOKUUMA HAPO NI NINI HASA!!!Naona unataka kujivunjia heshima yako humu Jamvini tofautisha sera na falsafa...Chadema sera zao ni za kibepari na ndio maana mfadhili wake mkuu wa nje ni chama cha Conservative cha Uingereza ambacho ni cha mapepari.
unapaswa kuwa umekufa au haujawahi kuishi Tanzania ndio uwe hauifahamu Falsa ya CCM, maana hata ukilitaja jina hili kwa kirefu utapata majibu.
Wanabodi,
Wananchi wanataka kujua ni nini hasa sera na itikadi inayosimamiwa na Chadema mlianza na falsafa ya oparesheni sangara katika kile.
Mkuu hii imekaa kiuana harakati tu bila kuwa na fununu na kule watanzania tunakotakiwa tuende.Falsafa ya Chama
- Falsafa ni fikra na mtazamo wa Chama ambayo ni kuamini katika Nguvu na Mamlaka ya Umma (The Peoples Power) katika kumiliki, kuendesha, kubuni, na kuendeleza maamuzi, mawazo, rasilimali, uchumi na siasa ya nchi yao.
- Aidha falsafa ya Nguvu na Mamlaka ya Umma ndiyo msingi na chimbuko la kuundwa dola ya nchi, na kuwa, Umma ndiyo wenye madaraka ya mwanzo na ya mwisho katika kuamua hatima ya nchi na taifa pasipo kuingiliwa, kudanganywa au kughilibiwa na viongozi, watawala au wageni.
- Ujenzi na udumishaji wa Demokrasia na Maendeleo nchini vitatokana na Nguvu na Mamlaka ya Umma wa Watanzania. Nguvu na Mamlaka ya Umma itabainishwa, kuainishwa na kulindwa katika Katiba ya nchi na Umma ndiyo utakuwa chimbuko la Katiba hiyo.
- Historia inaonyesha kuwa UMMA wa Watanzania haujawahi kuwa na sauti, mamlaka na madaraka juu ya maamuzi ya hatima ya maisha ya watu. Uhuru, nguvu, mamlaka na madaraka wakati wote, tokea enzi za ukoloni mpaka leo, vimekuwa vikihodhiwa na kumilikiwa na watu wachache ambao wana mamlaka ya kuongoza SERIKALI na kuwakandamiza wananchi.
- CHADEMA tunaamini kuwa mifumo na miundo ya utawala wa nchi yetu havijawapo kwa ajili ya kuutumikia umma, bali umma ndiyo huzitumikia serikali hizo ambazo ni mali ya watu wachache wanaopoka Nguvu ya Umma. Sambamba na hilo, umma wa Watanzania umekuwa hauna mamlaka ya mwisho ya kuhoji maamuzi ya serikali yanayowaathiri watu, na hivyo kujikuta hauna mamlaka juu ya rasilimali, sheria, utawala, na uendeshaji wa nchi. Aidha, Katiba ya Nchi imekuwa miliki ya Serikali kwa kutumia Bunge ambalo linatawaliwa na mawazo kongwe ya ukiritimba wa enzi za mfumo wa Chama kimoja cha siasa nchini.
- CHADEMA tunaamini na kutambua kuwa kuchaguliwa kuunda utawala wa kuongoza nchi hakumaanishi wachaguliwa kujitwalia mamalaka ya UMMA na kisha kuyatumia mamlaka hayo kuwakandamiza waliowachagua kwa sababu tu ya kutetea maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma.
- Hivyo basi, falsafa ya Nguvu na Mamlaka ya Umma ndiyo njia ya msingi ya kubadilisha fikra na uongozi unaokandamiza umma, ili kuibua fikra mpya na kuweka uongozi unaoweza kumilikiwa, kuhojiwa, na kuwajibishwa na umma kwa kutumia vyombo vilivyopatikana kwa utashi wa wengi kupitia chaguzi huru na za haki.
- Falsafa ya Nguvu na Mamlaka ya Umma inalenga kuwaamsha, kuwahamasisha, kuwaelimisha, kuwashawishi na kuwaandaa Watanzania wachukue hatua ya kuimiliki, kuitawala, kuilinda na kuifaidi nchi yao tofauti na kipindi cha miaka mingi chini ya mfumo wa chama kimoja cha siasa na miaka kumi na nne ya mwanzo ya mfumo wa vyama vingi.
Nimemsikia Nape Akiongea Star TV, Kuhusu uchaguzi wa CCM, Swali watawachagua wajamaa au Mabepari? Wakulima na wafanyakazi (Maofisa waandamizi) wanaruhusiwa kugombea? (Nyundo na Jembe)
Harakati ndio nini, au unatumia maneno bila kujua kiswahili vizuri. Harakati ni kosa?Mkuu hii imekaa kiuana harakati tu bila kuwa na fununu na kule watanzania tunakotakiwa tuende.
Sana sana hii ni agitation propaganda isiyoeleza chakula na mikakati yake , kuondoa umsikini, kutengeneza ajira na uchumi kwa ujumla.
Achana na huyu Nduka, hajui CCM anafikiri bado ni CCM ya Nyerere ya ujamaa na kujitegemea, ya wakulima na wafanyakazi. Hii ni ya mafisadi. Mungu ampe akili, ajitambue. Kwanza hajui wafanyakazi hawaruhusiwi hata kugombea ubunge mpaka waache kazi.Acha ubabaishaji tuelimishe juu ya falsafa ya CCM
Harakati za CDM sana sana ni kuwabeba vijeba vya CDM ili waonekane wanafanya kaziakati ni pamoja na maandamano na migomo inayoshabikiwa sana a wapambe wa CDM.Harakati ndio nini, au unatumia maneno bila kujua kiswahili vizuri. Harakati ni kosa?
Sina akili za kitoto kama unavyofikiri, kabla ya kufanya jambo unatakiwa kufanya upembuzi yakinifu, sio kufuata mdundiko na kuacha mboga inaungua. Fikiria watoto wako na wajukuu wako, acha ubinafsi. Utalia uzeeni.Harakati za CDM sana sana ni kuwabeba vijeba vya CDM ili waonekane wanafanya kaziakati ni pamoja na maandamano na migomo inayoshabikiwa sana a wapambe wa CDM.
Sioni jinsi unvyoweza kuendeleza nchi kwa kugoma.
Hata hivyo kwa info yako wewe unawezakuwa canon fodder wa kuwawezesha watu kupata ulaji tu bila kujijua.